Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawew upo CBLS? Tupo pamoja kaka.Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.
Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.
Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando
Ile si ilikubali kwa watu wa educationLoan officer II wa helsb wapo wengi kinyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂hao wa education wanaenda Kukandwa tu
Ndio mkuu tukashirikiane kukandwaNawew upo CBLS? Tupo pamoja kaka.
Huko ni hot cake watahudhuria wengi sanaLoan officer II wa helsb wapo wengi kinyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao wa education wanaenda Kukandwa tu
Ningeona hata sample ya maswali angalau mkuu ya mchumi IIUchumi grade 2 jua Macroeconomics and Microeconomics,Anza na zile za Ambilikile 1&2 ,pia soma research utakuwa umemaliza, especially hakikisha kozi zako za first Year semester ya kwanza za economics yaani 116 & 117 umezijua
Ukisema usome maswali hutoboi mzee we kula msuli mpaka kielewekeNingeona hata sample ya maswali angalau mkuu ya mchumi II
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sure kk lkn maswali nayo ukiyaona ni muhimu San'a sijawahi kuyaona kbs cjui wanatoajeUkisema usome maswali hutoboi mzee we kula msuli mpaka kieleweke
Sema shida kama hujawahi kwenda inakuwa ngumu sana lakini pambanaSure kk lkn maswali nayo ukiyaona ni muhimu San'a sijawahi kuyaona kbs cjui wanatoaje
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Asante Sana kwa muongozoNimepitia Job descriptions za Kada nyingi za NAOT, nimeona zinafanana kama inavyoonekana kwenye hii picha.
Watu ICT ndio zinatofautiana na hizi za halaiki.
Kutokana na uzoefu wangu wa kukandwa, napenda kutoa muongozo kama ifuatavyo:
1. Tujiandae kulingana na fani zetu mfano, Mchumi deal na mambo ya kiuchumi uliyojifunza chuo, hivyo hivyo afisa kilimo, Daktari, Afisa ununuzi n.k
Reference ya huu muongozo:
-:Written yangu ya kwanza ilihusu mambo ya fani tuliyojifunza chuo na mafunzo kwa vitendo ingawa Job descriptions zilikuwa specific kuhusu mambo mengine, Written yangu ya pili ikawa kama ya mwanzo.
2. Tusome pia mambo ya kiukaguzi tukiongozwa na majukumu yaliyoanishwa kwenye tangazo, waliowahi kufika oral ni mashahidi maana walishawahi kuulizwa wayataje majukumu ya kazi wanayoomba kama wanayafahamu.
Kwa hiyo mimi binafsi nitaishi kwenye hii miongozo niliyoitoa hapa, nikikandwa napo ni sehemu ya hustle kama ilivyo kawaida, nikiwakanda napo ni ushindi mkubwa kwa mkandwaji suguView attachment 2387812
Usahili ni kwa kiswahili ?Nimepitia Job descriptions za Kada nyingi za NAOT, nimeona zinafanana kama inavyoonekana kwenye hii picha.
Watu ICT ndio zinatofautiana na hizi za halaiki.
Kutokana na uzoefu wangu wa kukandwa, napenda kutoa muongozo kama ifuatavyo:
1. Tujiandae kulingana na fani zetu mfano, Mchumi deal na mambo ya kiuchumi uliyojifunza chuo, hivyo hivyo afisa kilimo, Daktari, Afisa ununuzi n.k
Reference ya huu muongozo:
-:Written yangu ya kwanza ilihusu mambo ya fani tuliyojifunza chuo na mafunzo kwa vitendo ingawa Job descriptions zilikuwa specific kuhusu mambo mengine, Written yangu ya pili ikawa kama ya mwanzo.
2. Tusome pia mambo ya kiukaguzi tukiongozwa na majukumu yaliyoanishwa kwenye tangazo, waliowahi kufika oral ni mashahidi maana walishawahi kuulizwa wayataje majukumu ya kazi wanayoomba kama wanayafahamu.
Kwa hiyo mimi binafsi nitaishi kwenye hii miongozo niliyoitoa hapa, nikikandwa napo ni sehemu ya hustle kama ilivyo kawaida, nikiwakanda napo ni ushindi mkubwa kwa mkandwaji suguView attachment 2387812
Niliwahi kuuliza hivi hapa, nilijibiwa itakuwa kwa kiingerezaUsahili ni kwa kiswahili ?
Mkuu naomba niulize kitu hapa.Niliwahi kuuliza hivi hapa, nilijibiwa itakuwa kwa kiingereza
Inasemekana wameita wachache kwanza, ninyi vuteni subira mtaitwa pia wakati mwingineMkuu naomba niulize kitu hapa.
Mimi niliomba takwimu muajiri ni MDAs & LGAs, lada ni mtakwimu daraja la II.
Naona wameita ita watu kwenye interview ila status yangu ajira portal bado inasoma "received" mpaka saaaizi au wanaita kwa mafungu kulingana na kada zao ??
Hapo sawa mkuuInasemekana wameita wachache kwanza, ninyi vuteni subira mtaitwa pia wakati mwingine
Jina lako lipo kwenye mkeka?Mkuu naomba niulize kitu hapa.