Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Wakuu naombeni muongozo pia kwa kada ya Afisa kilimo-NAOT, tupitiepitie wapi kujinoa? Maana hapa ni kupambania kombe, najua wapo wanaJF wenye uzoefu katika hili tusaidiane jamani.
Nenda juu huko mwanzoni mwa hili jukwaa Katika pinned thread mtafute afisa kilimo yiyote myajenge

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ningeona hata sample ya maswali angalau mkuu ya mchumi II

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nikitulia nitatuma nondo humu, ila hakikisha umeijua vyema Macroeconomics and Microeconomics basics bila kusahau research na pia piga brush Mankiw maana mwaka jana walitoa maswali matano ya Mchumi Daraja la pili na yote yalitoka kwenye kitabu cha Mankiw.
 
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.

Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam na oral ufanyike Dar es salaam hili limekaaje?

Kwanini Witten na practical zisifanyike dar es salaam na oral ikafanyika Dodoma,au kwanini vyote visifanyike sehemu Moja kama Dodoma tu au Dar salaam peke yake?Ili kuwapunguzia wasailiwa kurupishani za kusafiri huku na kule pia kuwapunguzia gharama .


Napaza sauti hii naomba sekretarieti ya ajira wafanye marekebisho ya ratiba za huu usaili .
 
Nikitulia nitatuma nondo humu, ila hakikisha umeijua vyema Macroeconomics and Microeconomics basics bila kusahau research na pia piga brush Mankiw maana mwaka jana walitoa maswali matano ya Mchumi Daraja la pili na yote yalitoka kwenye kitabu cha Mankiw.
Nitashukuru sana kk, pia naomba hiko kitabu cha mankiw au nakipataje mkuu wakati huo nasubiria nondo hizo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
ECONOMICS QUESTIONS (TUTORIAL ASSISTANT & ECONOMIST 2). Oral & written.

PAPER 1

-Explain the functions of money.
-Importance of Microeconomics.
-characteristics of privatization.
-Assumption of Economics model.

PAPER 2

-Tell us about your self.
-Why government tend to impose tax in the product like cigarettes and bear?
-Why Tanzania currency depreciate from a major currency?
-What are the importance of GDP increase in Tanzania?

PAPER 3

-Explain the five major problems of measuring national income in country like Tanzania.
-Calculation ya national income, investment multiplier.
-Calculation ya income elasticity of demand.
-Briefly explain the meaning of cross elasticity of demand, income elasticity of demand and price elasticity of demand and show the goods with negative and positive coefficient in cross elasticity of demand.

PAPER 3

-Explain five market failures
-Explain three types of exchange rate
-Mention three motive demand for money
-Mention 3 features of indifference curve
-Briefly explain the subject matter of economics

PAPER 4

-Explain the biggest problem in Economics.
-Outline major theory of economics you know
-In what way pricing constraints impact price setting
-Difference between Macroeconomics and Microeconomics
-Illustrate the deference between economics efficiency and technical efficiency
-Price and wage used to coordinate economics activities,why?

PAPER 5

-Explain three types of price discrimination
-Explain four factors influencing liquidity of an asset
-Government debt level or changes impact the Economic Growth rate in what ways?
-Prerequesities of economics growth in LDCs

PAPER 6

-How does current economics situation affect youth employment?
-Qualities of good money
-How money solve the problem of barter trade
-Determinants of money supply
-Difference between headline inflation and core inflation
-Problem of current monetary policy system
 
Back
Top Bottom