Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
HistoryUalimu wa somo gani?
General questions....Ualimu wa somo gani?
Majina ya nini?Tumeni link ya majina basi
Ohoo unamuita mwalimu mkuu tena wanini?Unaletewa Muongozo na wajuvi
Cc Mpwayungu Village
Hatuna huo mudaNaskia huko unapigwa interview tatu!
maandishi - majadiliano na practical unapewa mada then unaserebuka ubaoni
Ampe muongozo kuna mawili matatu huwa anayajua katika kada hiiOhoo unamuita mwalimu mkuu tena wanini?
Inshu ndogo tu iyo haina haja ya kumuita the head of schoolAmpe muongozo kuna mawili matatu huwa anayajua katika kada hii
Unaulizwa hivi " which distance is allowed between you and a female and attractive student" is it 0 distance or and distance?Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu mbalimbali watakaochagiza uchumi wa taifa letu.
Asogope ! Atapita IJN