Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.

Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu mbalimbali watakaochagiza uchumi wa taifa letu.
 
Naskia huko unapigwa interview tatu!
maandishi - majadiliano na practical unapewa mada then unaserebuka ubaoni!!

Wale madereva uwe unaweza kupiga reverse kali sana😁
 
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.

Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu mbalimbali watakaochagiza uchumi wa taifa letu.
Unaulizwa hivi " which distance is allowed between you and a female and attractive student" is it 0 distance or and distance?
 
Wewe unayeuliza Hadi maswali ya Kwenye interview ndo uzalishe wataalamu Kwa ajili ya maendeleo ya Taifa,, huu utani sasa
 
Back
Top Bottom