Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu mbalimbali watakaochagiza uchumi wa taifa letu.