Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Unaanzisha thread halafu mtu anauliza...thread yako inatufundisha mini? Namjibu kwa upole"kucomment ujinga km wa kwako"
 
Unaniona nipo hospital nimepanga foleni kwenda kwa Doctor,halafu unaniuliza vipi unaumwa??,mimi nitakujibu Hapana nimekuja kupiga stori.
 
Hahahahahaaaaa Tashtiti hizo..
 
MZEE; kijana siku hizi unafanya kazi wapi?
KIJANA; nipo tu nyumbani
MZEE; acha uongo kijana si umeajiliwa pale kwenye kampuni mpyaa
KIJANA; kama unujua ukweli halafu bado unauliza maanake unataka kujua uongo.....
 
< "Kijana una umri gani?"
> "Miaka 15"

< "Una uhakika?"
> "Hapana sina nimeuacha nyumbani"

> "Mbona unaonekana ni mtu mzima?"
> "Kwasababu sio mtu nusu"

< "Akili zako zinakutosha kweli?"
> "Ndio zinanitosha,nimeshonewa juzi juzi tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…