unajua humu jf kuna id huwa zinarelate na watu flani ogopa sana!Ahahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua humu jf kuna id huwa zinarelate na watu flani ogopa sana!Ahahahahah
Umejikwaa, unaugulia maumivu, alafu mtu anakuuliza umeumia, taratibu unamjibu hapana nimeliumiza jiwe
Upo super market or mall, unakutana na mtu anakuuliza "Umekuja kufanya nini hapa?"
Kuwinda tembo.
ID yako mkuu, vp bado unaimba?
Hapana, mimi si PNC muimbaji
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya ?
Nataka kwenda kufua
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya ?
Nataka kwenda kufua
kwani na ww ni excel ip, ni ile ya Microsoft au?Fuata maelekezo!
swali la kijinga... Jibu la hasira!.. teh..