Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

Mtu anauliza " vipi mbona kimya?" Unamjibu " kwa sababu siongei"
 
Habari Wakuu!!
Lengo La Uzi Huu Ni kutupia Maswali Ya Kijinga Na Mmoja ana Jibu Kipumbavu Mfano.
Mtu Anakukuta Unakula Anakuuliza Ebana Naona Upo Unakula ... unamjibu Hapana Naosha Vyombooo

Jamaa Anampigia Simu Mtu Saa7 Usiku Anamuuliza Umelala Nini Jibu Anamwambia hapana Niko Niko naimba..

Tupia na Ww Majibu Uliyowahi Kutoa,kusikia au Kuuliza Ukajibiwa Fyongo ...

Uzi Tayariii!!!
anakukuta unacheza game anakwambia ,naona unacheza game unamjibu hapana naangalia movies 🧠
 
Back
Top Bottom