Maswali ya Kujiandaa na Usaili wa Admission Officer II Usaili wa Mchujo IFM

Maswali ya Kujiandaa na Usaili wa Admission Officer II Usaili wa Mchujo IFM

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili.

Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000, hivyo kama mtu anahitaji na amepania sana kupata fursa hizi ni lazima ajiandae.

Maswali yanayoibuka haraka ni kwamba, maswali gani yanatoka?

Kwanza maswali yanayotoka ni ya kuchagua. Mara nyingi yanahusu ileile kazi unayoomba. Kwa mfano hapo admission officer unachotakiwa kufanya ni kuyafahamu majukumu yako na maswali yatahusu hapo.|

Endapo Unahitaji Kuona Mfano wa Maswali, Yapo Maswali 100 ya mfano na Unaweza Kutazama Hapa
 
Kitu kinacho nishangaza hapa nchini ni kwamba;

Degrees holders are looking for jobs, Job holders are looking for Degrees.

Afrika kuna maajabu sana.
 
Back
Top Bottom