:maswali ya kumuuliza mwenzi wako kabla hamjagegedana

:maswali ya kumuuliza mwenzi wako kabla hamjagegedana

Im kinda confused on the ''unprotected oral sex''.. can u come up a bit bout it please

ndo maana mnaambiwa mpime kabla yakufanya chochote na si vvu pekee na magonjwa mengine ya zinaa ili muwe huru
 
Mambo ya watoto hayo...mi sina muda wa kuuliza zaidi ya kucheza na kuta za k
 
Yan ukimaliza kuuliza unawezashangaa appetite imeisha...inategemea na majibu yake.
Km mengi ni YES kwishney kitu kinalala kwa speed ya mwanga dadadeeeki
Erickb52 haya sio maswali ya kuulizana wakati mnavuana vyupi
 
mwananthropolojia,swts,erickb52,ngalikihinja,moto2012,paloma na wenngine

jamani maswali hayo unaweza kumuuuliza mkiwa kwenye urafiki na pia haimaanishi kwamba akikujibu ndio basi ni mzima kupima ni lazima si hiari, kama hataki hakufai na kama wataka kufa kagegede.

na oroal sex usifanye kama hamjacheck magonjwa ya zinaa vinginevyo ni ulafi na ushamba pia then baadae unajidai ajali kazini.itakula kwako. kuna watu pekupeku hapa Malafyale chunga afya yako
 
Last edited by a moderator:
hivi vitu lazima muulizane mkiwa kwenye mahusiano na hamjaanz kula tunda

ni nzuri ikiwa unataka kutulia hapo... lakini mpita njia uanze kuualiza umezaliwa lini? ushawahi kutoa mimba? ushawahi kupigwa mtungo? huyu atakuona wwewe mwehu tu...
 
How many people have you had sex with?
Have you had sex without a condom?
Have you ever had unprotected oral sex?
Have you had more than one sex partner at a time?
Do you inject illegal drugs or have you had sex with someone who injects drugs?
Have you ever had unprotected sex with a prostitute?
Have you had a test for HIV? What were the results?
Have you ever had an STD, including hepatitis B or hepatitis C? Was it treated and cured?
Tufanye mimi ndio mpenzi wako na sasa tupo geto najiandaa kukugegeda ebu jibu hayo maswali.
 
jamani nieleweke vizuri ni vizuri kuyajua mnapoanzisha mahusiano na si mnapokuwa kwenye 6kwa6.kama ulishaamua kuingia chumbani inamaana umejitolea.
 
Mie kwakweli huo msemo wa kugegeda najilazimisha tu kuutumia ila unaniboa kweli!
Kugegeda????????? khaa!

Kwaherini na topic yenu.
Hahahahahahaaa!kama huo msemo Unakuboa kuna mwingine mpyaaaaaaaa,
Huu unaitwa KUNGONOKA
Huu utakufaa sana bibie lol!
 
How many people have you had sex with?
Have you had sex without a condom?
Have you ever had unprotected oral sex?
Have you had more than one sex partner at a time?
Do you inject illegal drugs or have you had sex with someone who injects drugs?
Have you ever had unprotected sex with a prostitute?
Have you had a test for HIV? What were the results?
Have you ever had an STD, including hepatitis B or hepatitis C? Was it treated and cured?

hivi wakati unauliza haya maswal unajua kuna kuwa na transformation ya authority kutoka kwenye kichwa kikubwa kinakabidhi mamlaka kichwa kidogo sasa hayo maswali hayataweza kuulizwa yote kwani wakati mnajiandaa ndipo transformation ina take place sasa ukiwa unataka kuanza transformation inakuwa COMPLETED!!
 
You may had a scratch na wewe unamuona mwenzio nae hivyo hivyo.....then mnajilipua tu kuanzia mdomoni mpaka uvinza, na wengine hawaishii hapo tu, wanapiga nyoka mpaka kwenye kitoga....na 'condom za ulimi hawavai' kudadeki!

okay Izz shukrani
 
Back
Top Bottom