:maswali ya kumuuliza mwenzi wako kabla hamjagegedana

Ila kwa hawa wanaume wetu wa kidigitali anaweza kukukata maini akakwambia hajawahi do..yani swali likaishia mkapime tu ndo muhimu,hayo mengine mtu unatafuta kudanganywa live bila chenga.
Ila wapo atlst atajibu baadhi ;mfano la waschana(ila atapunguza idadi)
la prostitutes ataapa miungu yote hadi ya kihindi arhe bhabha!!!
No matter when the questions will be asked...majibu yanayokaribia ukweli ni mawili tu apo la kupima ambalo inabidi muende tena la wasichana ambapo atataja mmoja akwambie wengi walikuwa wanamtaka yeye..af alichitiwa akaacha..kumbe apo alipigwa buti la ffu lina afadhali!!lol
chezea hawa watu nini!!
Kikubwa mwombe Mungu tu muanze upya na awe unavotaka muendane ,its not good to dig someone's pasts smtimes!
 
Utadanganywa tu aseme ukweli ukimbie?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 

hapo sio maswali tena,sema hiyo ni interview kabla ya kugegedana
 
wakati mnatongozana mlikuwa wapi mda wa kutaka kugegedana ndo uanze kuuliza "eti Have you had a test for HIV? What were the results"?


sasa kwa wale tunaovamianaga tuuu haya maswali hayafani kabisaaa
 
Hayo maswali ya ulaya, ukimuuliza mswahili atakuambia you are my 2nd gal.
Kamata mkono kampime maradhi yote tena hospitali anayofanya kazi binamu yako. Swali relevant ni ehat is your view on witch doctors na kama anatumia mtandao wa dhambi! Bhaaas.
ukoje huo namimi nataka kujiunga teh!!
 
Hivi hili neno GEGEDA asili yake wapi? Linaweza tumika rasmi katika lugha yetu? Maana kuna kipindi kipindi nililiona hapa JF nika apply mpenzi wangu akaabaki kanitumbulia mimacho tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…