Maswali ya msingi

Maswali ya msingi

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
  • Unafanya nini.....?
  • Unataka kuwa nani...?
  • Una elimu gani....?
  • Unaishi vipi....?
  • Unaelekea wapi....?
  • Unaelekea na nani...?
  • Umejiandaa kutokufika...?
  • Umejiandaa kupokelewa ukifika...?
  • Unajua unachotaka...?
  • Unajua mahitaji yako...?
  • Unajitambua...?
  • Una marafiki wa aina gani...?
  • Wanamchango gani katika maisha yako....?
  • Umetimiza malengo yako asilimia ngapi mpaka sasa....?
Hata husipo jibu kwa kuandika basi hakikisha unajibu hata kimoyomoyo itasaidia kujikumbusha baadhi ya vitu.
 
Back
Top Bottom