Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Tena huko halmashauri ndio wana uwezo duni sana. Tatizo wana chuo wengi wanasomea mitihani sio uelewa wakuja kuapply kwenye kazi na maisha kwa ujumla. Ndio maana wengi hawajiamini ilihali wana ufaulu wa juu kabisa.Kkwakweli Dalili kubwa kuwa elimu itolewayo na vyuo vyetu ni DUNI ni waajiri ikiwemo serikali yenyewe kutowaamini waombaji wa kazi: ila pia waajiri kutojiamini hata wakiajiliwa...kuna siku nilienda halmashauri fulani kwa ajili ya consultancy assignment fulani ya kudevelop funding scheme ya mradi wa maji ya visima vijijini..maafisa ambao walikuwa assigned nifanye nao kazi ni mchumi, mtakwimu na watendaji kata..nilichogundua wakawa na inferiority kwenye zoezi hasa nilipokuwa nawashirikisha kwenye aspects kadhaa..yani walionekana kutojiamini as if wanakuwa assessed! Ila kweli vyuo havituandai kuwa competent, nadhani wanafunzi wenyewe wanapaswa wajue wanaposoma wahakilishe wanalenga kwenye uelewa wenye kusaidia kufanya uhalisia watapokuwa ktk ajira au kujiajiri