Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jealous tu mkuu, mtu akipata hataki na mwenzie apate au akipitia msoto na wengine wapite humo humo lakini kuuliza miongozo sio kosa hata uwe professorHata wanaouliza maswali kwenye interview mda mwingine unakuta nao hawako competent kwa hyo jamaa hajakosea kuuliza unaweza kushare tricky questions kama umewah kuhudhuria sidhani kama jamaa mweupe kiasi hicho mnachodhani nyinyi wajua kila kitu
Imagine mtu amekaa mtaani miaka 7 akiwa hafanyi kile alichosomea sidhan kama mtu huyu anaweza kutumia akili ile ya chuo bila kujiandaa tusidanganyane na kujikweza humu kwenye platform kuna mambo mengi kwenye kuomba kazi
Jipange ukachukue Kazi mkuuShukrani Mkuu