Maswali ya Watanzania kujiluza kabla ya kupigia makelele wageni wanaokuja kuajiriwa nyadhifa kubwa nchini mwenu

Huyu jamaa yuko hivi siku zote. Tukianza kutoa mifano ya makampuni yaliyofilisika chini ya usimamizi wa Wakenya watapiga kelele. Nafanya research nitaweka wazi soon.
 

Unachanganya, inafaa ikuingie Mchina anayo haki maana kawekeza kwenye kutujengea muundo mbinu mkubwa ukanda huu, tena katumia teknolojia zake hivyo ana haki ya kuwajaza Wachina wake pale. Lakini mimi nazungumzia kampuni ya wazawa waishie kutafuta watenda kazi nje ya nchi na waingie gharama sana.

Kwa Mkenya anayelalamika kuhusu mkurungezi wa Safaricom kuwa mgeni kutoka nje ya nchi ni ujinga, na ndio hayo matatizo yanayowakumba nyie, kulalamika ovyo bila kujiuliza maswali ya msingi. Safaricom ambay mzazi wake Vodacom pamoja na kwamba serkali yetu ina hisa pale, hatuwezi na haturuhusiwi kuingilia wanavyojipanga kikazi na kimajukumu, hivyo wakimleta mkurungezi wa kutokea Marekani au Uingreza au watakapomtoa, ni haki yao kufanya hivyo kama wameangalia na kuona hakuna Mkenya anayekidhi vigezo wanavyovitaka, na cha msingi ni jukumu letu Wakenya kuhakikisha tunaboresha nguvu kazi zetu na sio kulalamika kama mazombi.
 
Wacha unafik, Kenya kuna malalamishi mengi sana kwa nyadhifa za uongozi wa mashirika ya umma na ambayo yako listed in NSE, tena haya malalamishi ni ya kikabila. There very many companies that could benefit from professional management but tribal mathematics and hiring using tribe as merit has led to mediocre performing companies
 
"Sovereing" ndio mnyama yupi?
 
Illegally is the key word kwa hizo vitu umepost. Sylivia Mulinge sio an illegal worker mbali amekubalishwa na kampuni ya kimataifa na serikali yaTanzania.
 
Illegally is the key word kwa hizo vitu umepost. Sylivia Mulinge sio an illegal worker mbali amekubalishwa na kampuni ya kimataifa na serikali yaTanzania.

Wakuu wa Safaricom, KQ, Airtel n.k ni Wakenya? Nyie si mnadai kuwa mna uwezo mkubwa.
 

Kwenda zako huko. Niambie ni watanzania wangapi mmeajiri kwenye corporate huko kwenu?
Kwahiyo unaona Sylvia ndio the best candidate kuliko watanzania wote. Acha matusi kijana
 
Kwenda zako huko. Niambie ni watanzania wangapi mmeajiri kwenye corporate huko kwenu?
Kwahiyo unaona Sylvia ndio the best candidate kuliko watanzania wote. Acha matusi kijana

Sio sisi tumeona umuhimu wake huko, ila wenye kampuni yao ndio wanamhitaji.
Binafsi ningetamani apewe kampuni ya kusimamia Kenya, maana kichwa kama cha kwake sio cha kuwachia kiulaini, tunaishia kuwa na brain drain.
 
Sio sisi tumeona umuhimu wake huko, ila wenye kampuni yao ndio wanamhitaji.
Binafsi ningetamani apewe kampuni ya kusimamia Kenya, maana kichwa kama cha kwake sio cha kuwachia kiulaini, tunaishia kuwa na brain drain.
Sour grapes, pambana na hali ya kenya, Makampuni yana simamiwa kwa ukabila.
 
Naona mk24 ameblacklist this guy..jamaa amepost
.ametusi na hakuna reply
.sema kuwa savage ...

Sijajua unazungumza kuhusu nani, au labda ni zwazwa fulani hujifanya Mkenya, nilishalitia kwenye ignore list, hivyo huwa sioni replies zake maana halipo humu kujadili, ni kama huwa limelipwa kutroll Wakenya.
Hivyo huwa hata likitusi vipi, JF huzuia nisione matusi yake.
 
Very good to see that you sneak view my posts..Well they are not ment for Jubilee fools like you, they are meant for all JF subscribers Kenyans and Tznans to see your blantant foolishness. And its has worked, Now no one regards your posts with any seriousness, they see childish nonesense.. So keep blocking, it actually helps when your stupidity is called out with no interferance of another stupid reply.. And recruit your ilk, let them block...I have been begging them to let their female hormones rage!
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…