Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I told you that you dont have monopoly for Stupidity Mbwa kama wewe 😀 😀Naona ulichukua ile Kazi ya kuwapeleka mbwa wakijisaidie kunya msituni.
Sheria na taratibu haswa zikifuatwa ipasavyo kwa mchakato uliyouelezea hapo wangebakia mabalozi wa nchi tu...
Lakini sivyo unavyofikiria... waajiri wengi hawapitii hayo yote... tayari washatengeza channel kote huko na mambo yao huenda haraka haraka...
Cc: mahondaw
Pambana na hali yako, Let Tanzania do what they know best, and its working they are growing at 7% and have the most inclusive economy in AfricaWapitie au la mwisho wa siku swali la msingi linabaki pale, kwamba wanahangaika kutafuta nguvu kazi nje ya nchi.
Hivyo kabla ya kutokwa povu, lazima watu wajiuluze maswali, kwa mfano Safaricom ya Kenya walimfuata Mkurengezi nje, itakua ujinga Wakenya tukipigia makelele uamuzi huo. Na ndio nanyi nawashangaa mnapokesha mkilialia kisa Mkenya ameletwa kwenu aongoze.
Si utumie Ile handle ingine. This days ama unakuagaje? Hio ndo poa ya kutetea TZ kwa huu uzi.Pambana na hali yako, Let Tanzania do what they know best, and its working they are growing at 7% and have the most inclusive economy in Africa
Mimi si kilaza kama MK254, eti nifungue handle ya hamster255 na nikista254 kusambaza ujinga..Si utumie Ile handle ingine. This days ama unakuagaje? Hio ndo poa ya kutetea TZ kwa huu uzi.