Maswali yaliyokosa majibu ndani ya malumbano ya hoja ITV leo 6/2/25

6. Kutoa hakuhusiani na kutengeneza, unanunua kokote duniani kisha unagawa.
5. Mswahili hata umkejeri kuhusu kupenda vya bure, kuacha ng'o.
4. Wao walikuwa sawa na mastookipa, utawapa kazi ya kugawa nini?
3. Angeeleza nini wakati hajui hata idadi ya aliowatibu na kupona! Hata hivyo anazo dawa za kusambaza nchi nzima?
2. USAID hugawa chakula kwa wanafunzi na makundi maalumu, siyo wagonjwa.
1.Swala la kuuza halihusiani na USAID, hilo ni nje ya mada.
Hitimisho, na wewe jifunze kuandika kiswahili fasaha achana na cha kizaramo, hii mambo ya ela usiilete tena humu.
 
Katika wajuaji pori na wajivuni wewe unaongoza. Kama unafahamu eleza kwa ufasaha watu wajue sio kukejeli. Haya wewe unajua inakusaidia nini. Hovyo kabisa.
 
kama we ni hopefull si useme hali ikoje?
 
Wewe ni TAAHIRA.
Umekaa kulopoka mleta mada hajui hiki, hajui kile.
Ndio hajui, na ndio maana kaomba kujulishwa na wanaojua.
Wewe unayejua umejibu nini hapo zaidi ya kuonyesha utaahira wako uliochanganyikana na makasiriko?
 
Sasa wewe mwenye akili timamu si ndio ungejibu kwa usahihi katika mtiririko wake. Why kukosoa kila kitu bila suluhu khaa🚮
 
1.....naamini Bei itapatika na huenda kukawa na ruzuku ya serikali kupunguza ukali wa Bei. Ama diplomasia itatumika na Mambo yatakuwa shwari.

4.... Nafikiri hao wataalam wanaweza kuajirika serikalini ama private haya ni maisha ya kawaida kwa watu NGO na taasisi zingine za kimataifa na binafsi naamini huenda hata kazi zao zilikuwa za kimkataba.

5... Haya ya kaisari tumuachie itmwenyewe
 
 
Mm nikusaidie tu kusema, UNA SHIDA KUBWA KICHWANI, sikwambii Ni ipi maana hutakubar kuwa Ni yako... Mental health problem is real
 
Kumbe tunaweza pata arv's za kutoka india za tsh.30,000 kwa mwezi,tutatoboa tu
 
Kuna kipindi kuna andiko flani nilikua naandika, nikaja kugundua kuwa Waathirika wote ambao wako Kazini, I mean waajiriwa wanatakiwa kupewa pesa kila mwezi na mwajiri wake, kwa Walimu inaitwa Pesa ya matunda, wengine pesa ya sabuni
 
Nadhani hata Tanzania tunazalisha ARVs kwa viwanda vyetu vya ndani. I remember pia kuwa kulikywa na kesi ya Mkurugenzi wa Tanzania Pharmaceutical Industries - Somebody Mr.Madabida kwamba kiwanda chake kilizalisha ARV fake several years ago.

So technical capacity ya kuzalisha hizi dawa naamini tunao. Shida iko kwenye gharama. Ndio maana tunawahitaji hawa donor watusaidie ku subsidize ili ziwe affordable mtaani
 
Marekebisho mkuu, ARV(Antiretroviral) hazitibu virusi vya ukimwi,, ila ni dawa zinazo fubaza virusi vya ukimwi. Samahani kama nimekosea
 
kwenye huu uzi nlikuw napitia koment ili kujifunza, nmegundua watoa koment wote wamejalb kutoa wanalolifaham,ila n mmoja tu kichwani ni mweupe na hana akili. mana amepg kelele nyingi afu hajatoa hoja yeyote zaid ya kujiona mjuaji!. tujifunze kukaa kmya kama tutahis hatuna jambo la kuchangia.
 
Unaweza kuwa msomi ila ukawa unatoa hoja sawa na mtoto wa darasa la pili
Soma ulichoandika😀😀😀😀😀
Nilitegemea ungejibu kisomi ila umejibu sawa na mtoto wa darasa la pili. Hongera!
Sawa ww ona mm niko darasa la pili, ila nimeghafirika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…