Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Sema uwezavyo , note my point.ujinga mwingi saaaaaana,Katika wajuaji pori na wajivuni wewe unaongoza. Kama unafahamu eleza kwa ufasaha watu wajue sio kukejeli. Haya wewe unajua inakusaidia nini. Hovyo kabisa.
Huna tofauti na mtoa mada na wenzake wa ITVWewe ni TAAHIRA.
Umekaa kulopoka mleta mada hajui hiki, hajui kile.
Ndio hajui, na ndio maana kaomba kujulishwa na wanaojua.
Wewe unayejua umejibu nini hapo zaidi ya kuonyesha utaahira wako uliochanganyikana na makasiriko?
Kuna swali la utaratibu hapo, mama, upuuzi huo.Sasa wewe mwenye akili timamu si ndio ungejibu kwa usahihi katika mtiririko wake. Why kukosoa kila kitu bila suluhu khaa🚮
For real, hiyo shida unayo wewe naonaMm nikusaidie tu kusema, UNA SHIDA KUBWA KICHWANI, sikwambii Ni ipi maana hutakubar kuwa Ni yako... Mental health problem is real