Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

kwa hiyo tumeshakubaliana kama haya masuala si 'irrelevant foreign' issues madhali yametapakaa kwenye jamii ya Tanzania.
Huo u-hot button ndio irrelevant kwa jamii ya Tanzania. Kutapakaa hakufanyi kitu kuwa controversial.

unataka kunambia kwa sababu kuna matatizo mengi ya kwenye meza ya chakula, ya kitandani yanakosa hadhi ya kuwa ni matatizo pia?
ya kitandani hayaongelewi Tanzania, hakuna aliyeandika ilani ya kuhalalisha u$enge au kutoa mimba. Yanaweza kuwa ni tatizo kwako, lakini kama jamii, hayako kwenye mazungumzo.

ushakaa ukajiuliza wanafunzi wangapi ambao sheria inawazuwia kushiriki kwenye mambo ya kitandani wanatoa mimba? ushajiuliza wangapi wanatoa mimba kwa madaktari wa vichochoroni bila ya familia zao kujua?
Bado kwa Tanzania haya sio "hot button" issues. Hakuna mrengo wa kisiasa unaosimamia haki yake ya kutoa mimba.

haya masuala yataendelea kuwa hot button issues kwa sababu yakijadiliwa yataibua hisia kubwa kwa wananchi.
Kama kitu hakijadiliwi, hakiwezi kuwa "hot button" issue.

Kuazima azima vi concept vya kwingine kuvileta Tanzania ni kichekesho, ni pitfall ya kizazi kilichokuwa miseducated uhamishoni. "Homosexuality and abortion rights are hot button issues in Tanzania...." Hahahahahaaaaaaa
 
Mkuu Mwawado,
Ikitokea hivyo, kama wingi wa wabunge wa chama twawala utakuwa kikwazo kwa utendaji kazi wa serikali, hatua ya kwanza ya Rais Slaa ni kuvunjilia mbali bunge lililopatikana kifisadi (anao uwezo huo kikatiba), kuunda tume huru ya uchaguzi, na kuitisha uchaguzi mkuu huru ambao utampatia wabunge wa kutosha toka chama chake.
 
Kuuliza swali ni haki yako lakini kaka maswahali mengine jalibu kuangalia unamuuliza nani
mtu kama dr slaa ni kiongozi makini sana anayejua anachokifanya wewe ulitambui hilo?
Tanzania ni nchi hulu inayoongozwa na utawala wa shelia wewe unafikili ni jambo rahisi kiasi hicho?
 
Whether they are in the conversation or not, they are 'hot button issues' because they are controversial, and are bound to trigger AN intense and emotional reaction from people.

Mzee Ngabu;
Looks like your statement was intended to read as follows, in order for you to convey the proper meaning to the auudience:
Whether they are in a conversation or not, there are 'hot button issues' that/which are controversial, bound to trigger AN intense emotional reaction from people.
 
Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?
 
Bila WAJINGA hakuna WEREVU
bila WAPUMBAVU hakuna HEKIMA
bila CCM hakuna MAFISADI
bila TANZANIA hakuna CCM
 
wananchi ndio hao wameanza kuulizia kuhusu hukumu ya kifo kinachofuata ni kuulizia kuhusu utoaji mimba
 
......... Mchambuzi ni vema ujue kuwa Urasi ni Taasisi, tofauti ni kuwa Rais ndiye anayejulikana zaid lakini haina maana kuwa Rais anaweza kukurupuka tu na kuamua kufanya/kutekeleza jambo kwa mujibu wa Sheria na si nje ya Sheria za Nchi. Kwa hiyo kwa kufanya yaliyo ndani ya Katiba na Sheria, Rais hatahukumiwa maana hafanyi mambo kwamujibu wa Imani yake bali Sheria za nchi.

Mchambuzi umeniboa na kunihuzunisha sana na I can conclude that you have come back with a specia mission and not new vision.


Ibra, hapo umemaliza kila kitu. Labda huyu sio the "real" mchambuzi, labda ni MS ameamua kutumia jina la Mchambuzi.
 
Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?

Naona una wiki moja tu tangu umejiunga. Kwanza karibu jukwaani. Pili kabla hujaendelea kuweka post nyingine jukwaani, rudi kajifunze kwanza namna ya kutoa hoja na kuipangilia kama great thinker. Ulichokiandika hapa wewe mwenyewe unakielewa? Una hoja gani hapo? Inaelekea wewe ni mkurupukaji, na una visa vyako tu, huwezi kukurupuka tu na kuanza kusema fulani ni tapeli bila kusema amemtapeli nani? Huwezi kusema fulani hafai au anafaa bila kusema ni kwanini? Wala huwezi kuwashawishi watu kwamba Dr Slaa hafai bila kutoa sababu za msingi. Tafadhari rudi shule kajifunze namna ya kutoa hoja.
 
Kama una watoto nawahurumia wamekula hasara na kama una mchumba basi atakuacha, maana atakufananisha na sisi ataona kuwa wewe huelekei kuwa kama sisi then utatemwa tu. Na nina guess ulishatemwa mara nyingi.
 
Una uhakika na unachokisema unaweza kuthibisha madai haya? Kashindwa kuliongoza la karatu! Kahujumu kanisa?
Hilo la imani hata sija kuelewe upadre ni wito kama ulivyo wito wa ndoa! Haukatazwi kubadili wito! Bro nimeshindwa kumalizia kusoma argument zako za mwanzo nimeona zinapwaya! Wadau msaidieni huyu mgeni!
 
Kama kila Thread ingekuwa inalipiwa pumba kama hizi zisingekuwepo:becky:
 
Mpaka siku MS anatoka sero,atakuta kuna wenye 'vipaji' kibao washamfunika...
 
Dr slaa, ivi wewe hauoni hata haya kwa Taifa zima na kufanya utapeli wa kisiasa haiwezekani? wewe umeshindwa kuliongoza jimbo leo unataka tukupe nchi? hii ni hali ya hatari kwenye nchi yetu kuwa na viongozi kama hawa Dr slaa umeshindwa kufuata maadili ya dini utaweza kufuata maadili ya nchi? kama uliweza kufanya ujuma katika kazi yako uliyokuwa nayo ya kiroho iweje leo uwadanganye watanzania? unajambo gani la kutueleza kama Taifa ili lilkusomesha na kuweza kupata elimu yako ya juu ya dini iweje leo uje kwenye siasa usitudanganye kwamba umeweza kuliacha jimbo na kutafuta nafasi ya urahisi kutokana na hali hii wew hautoshi kabaisa kama umeshindwa kuongoza jimbo je/ utawezakjea kuongoza nchi?
mh!!??
 
Tafuta jukwaa lingine la kuweka upuuzi wako. Wana JF wana busara, hekima, uelewa na akili timamu. Mjinga mkimya huonekana ana busara kuliko mwenye busara mpayukaji.
 
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.

Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?

Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?

Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kung’ang’ania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?

Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.


nadhani hujaelewa kitu ukristo nini=haya ni mambo ya roho ya mwanadamu na Mungu,
enewei nafikili ukweli mambo ya uongozi wa siasa n mwilini na fahamu za kibinadamu,
hivyo hata akiwa raisi atakuwa anaongoza kimwili sana na si kiroho kwa kuwa amechaguliwa na wanadamu kimwili,
wala hataongoza kwa kufuata ukristo hasa kwa kuwa siyo uliomuweka pale kuwa kama kiongozi,

na hii si kwa Slaa tu bali kwa kila mtu anayekuwa raisi hatakiwi kufuata kanuni na sheria za imani yake, mafano huyu mzee wa kuanguka
kama angeamua kuongoza nchi sana kufuata sharia za dini yake unadha pangekalika hapa? tungelazimishwa kufuga ndevu wote hapa
kwa muda wa mwezi mmoja heheee heeeee sa sijui kama haaaaaahaaaaa kicheko kidogo tafadhari sana

angalizo hebu kasome tena Sheri na hukumu za Biblia ambayo ndiyo mwongozo wake Slaa
kwa imani yake harafu jisumbue kidogo kutaka kujua ni kwa kisasi gani, ama kwa vitu, ama kwa namna gani kisasi ukristo umekataza kulipiza? siyo umechukua tu hilo andiko kama lilivyo ukaona ni bonge la swali kwa kuwa umesoma andiko kama gazeti la udaku,
usilisaidie andiko la Biblia kwa akili zako bali hilo likuongoze unakotaka kwenda, sharti uiulize Biblia kwamba wewe Biblia, hapa unamaanisha nini? Siyo kusoma tu na kukutunga maswali,
 
mchambuzi bwana!!!!!!!!!!!!
yaani huoni namna huyo slaa alivyo fanya kila unachosema kusimamia mawazo yake jinsi kilivyoliokoa na kulisaidia taifa?...wenye akili tu ndiyo wanajua....huyu ndiye kiongozi tunayemtaka kwani alikuwa tayari hata akamatwe kwa kumiliki nyaraka ambazo JK na serikali yake wanaziita za siri wakati za kifisadi.....
kuhusu dini JK aliweka mahakama ya kadhi kwenye ilani na kuiombea kura kwa hiyo jk hawezi kusimamia maswala magumu kama hayo is a very week leader an ameonesha kwa vitendo
kuhusu albino jk hawezi kufanya chochote kwani kesi bado nyingi tu zipo mahakamani na watu walikamatwa na viungu ila bado ushahidi unatafutwa...AIBU HII KWA KJ
 
Mwandishi umenifurahisha sana kwa sababu kajaribu kuandika kideini zaidi japo unajifanya umejificha lakini ulipojificha ni tranparent kwa hiyo werevu tumekuona..........nasikitika huwezi kumuuliza dr.slaa atashughulikia vp mafisadi na rushwa kwa ujumla kwani unajua alivyo kwamba hahitaji swali maana jibu liko wazi....ila kwa ajili ya interest zako na za ccm na mafisadi ndiyo maana umejaribu kuuliza utumbo zaidi
 
Back
Top Bottom