Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ikiwa ni siku chache tangu habari zisambae kuhusu Ukraine kuwarudisha nyumba askari wa Urusi na kukombolewa kwa kilomita mraba zaidi ya 8000 imefahamika kuwa hizo ilikuwa ni habari za uzushi.Mwanzo imejulikana kupitia raisi Kadyrov wa Chechnya ambaye ni mshirika mkubwa wa raisi Putin.Amesema hakuna hata kilomita moja iliyokombolewa na Ukraine.