Maswali yazuka ushindi wa Ukraine.Kadyrov asema hakuna eneo lililokombolewa.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Ikiwa ni siku chache tangu habari zisambae kuhusu Ukraine kuwarudisha nyumba askari wa Urusi na kukombolewa kwa kilomita mraba zaidi ya 8000 imefahamika kuwa hizo ilikuwa ni habari za uzushi.Mwanzo imejulikana kupitia raisi Kadyrov wa Chechnya ambaye ni mshirika mkubwa wa raisi Putin.Amesema hakuna hata kilomita moja iliyokombolewa na Ukraine.
 
Amka wewe usije ukajikojolea kumekucha
 
Huyu jamaa wananifurahishaga sana wanapomuita 'strong man Kadyrov' ila kwa hili kawa kama chupi iliyotoboka tu.
 
huyo ni baba levo wa Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…