Mkuu nimeshangaa sana hizi akili za usiku unaogopa fursa kisa utazidiwa kiakili! Kwa wao wanatumia nini na sisi tushindwe?Facts must told,
[[Watanzania ccm imetujenga katika uoga wa hali ya juu sana kiasi fulani tumekuwa kama wajinga fulani kimtindo,kiasi tunajiprotect kwa kuacha kufanya biashara kama njia ya kujilinda which is not corrects]],ni lazima tushindane tuvutie wawekezaji,tutengeneze integrity juu ya uwekezaji tukumbuke vijana hawa wanaomaliza vyuo serekali haiwezi kuwaajiri na mwajiri wao mkubwa anatakiwa kuwa sector binafsi,let's forget of past and walks more further a ways,
#Thanks you Madam president SSH.
Hayana akili hayo mkuu.Wengine wala hatuigopi Kenya wala Wakenya tuna waonea huruma nyinyi wadogo zetu ambao kila siku humu mnalialia hamna ajira na mitaji hamna na degree zenu. Sasa ajira zenyewe haziwatoshi mtaweza kuzigombea na Wakenya?
Tangu lini chadema wakamtakia mema Samia wa ccm?Nimepitia nyuzi nyingi sana naona wanazi wa kwenda zake wakianza kumponda mama Samia kwa kufungua mipaka ma Kenya.
Hoja zao zilizokufa:
1. Ooh Kenya iko juu kiuchumi watatuzidi tukiwapa gesi
2. Ooh Kenya wana viwanda vingi vyetu vitakufa kisoko.
3. Ooh Kenya watafaidika kuliko sisi n.k.
Sasa kama mtanzania unaogopa changamoto katika maisha utajijuaje kama una akili? Mama kashafungua mipaka na uadui uliowekwa na mwenda zake.
Kama hauko tayari kuzidiwa na Kenya kiuchumi unachukua hatua gani? Ww endelea kulia lia wenzio tayari washaona fursa.
Katika malalamiko hayo huwezi kukuta mchaga analalamika ujinga kama huo sababu tayari ni fursa.
Asante mama Samia kwa kurahisisha biashara, naona unatembelea njia ya JK
Mtembea bure si sawa na mkaa bure jifungieni nchini mwenu wenzenu tayari wanaranda kupiga pesa.
POINTS HAPA NI TUDOKOE BAADHI YA VITU VILIVYOKO KWENYE SYLABUS YAO TUVICHUKUE NA SI KUJIFUNGIA MAMA NDALICHAKO AANGALIE NAMNA YA KUDOKOA YALE MAZURI KUTOKA KENYA SIO DHAMBI THATS MEAN BY FUTURE WE SHALL COUP N BE COMPETENT.Hayana akili hayo mkuu.
Mimi nimefanya projects na raia wa nchi zote za Afrika mashariki. Naomba kukiri kua Wakenya wanaonekana wako mbele hatua 3 hadi tano zaidi yetu.
Unakumbuka hata Spika Ndugai aliwahi kutoa mfano wa elimu ya Kenya ya vyuo vikuu iko tofauti na hii ya vijana wanaokalilishwa wafaulu mitihani, watu wanakomaa tu ili wafaulu mitihani.
Leo hii vijana wanalia hawana ajira, ukiruhusu wakenya waje kuongeza ushindani kwenye soko la ajira zetu za ndani ukiondoa za serikali, hakuna atakaepata kazi halafu wataanza tena kulia wakenya wanachukua ajira zao.
Kama wanataka turuhusu tu soko huria raia yoyote wa taifa lolote aje Tanzania awe huru kuajiriwa, kwa nini wawe wakenya tu, turuhusu wote waje tupambane humu ndani full stop.
Kwa hiyo kama siwezi ndio wengine wasipate fursa? Huu ni uchoyo na ubinafsiWengine wala hatuigopi Kenya wala Wakenya tuna waonea huruma nyinyi wadogo zetu ambao kila siku humu mnalialia hamna ajira na mitaji hamna na degree zenu. Sasa ajira zenyewe haziwatoshi mtaweza kuzigombea na Wakenya?
Ushajijua una kasoro hiyo unachukua hatua gani ili kuimaliza? Au umeridhika kukaa na ujinga?Hayana akili hayo mkuu.
Mimi nimefanya projects na raia wa nchi zote za Afrika mashariki. Naomba kukiri kua Wakenya wanaonekana wako mbele hatua 3 hadi tano zaidi yetu.
Unakumbuka hata Spika Ndugai aliwahi kutoa mfano wa elimu ya Kenya ya vyuo vikuu iko tofauti na hii ya vijana wanaokalilishwa wafaulu mitihani, watu wanakomaa tu ili wafaulu mitihani.
Leo hii vijana wanalia hawana ajira, ukiruhusu wakenya waje kuongeza ushindani kwenye soko la ajira zetu za ndani ukiondoa za serikali, hakuna atakaepata kazi halafu wataanza tena kulia wakenya wanachukua ajira zao.
Kama wanataka turuhusu tu soko huria raia yoyote wa taifa lolote aje Tanzania awe huru kuajiriwa, kwa nini wawe wakenya tu, turuhusu wote waje tupambane humu ndani full stop.
Wewe unaumiza nini?Nimepitia nyuzi nyingi sana naona wanazi wa kwenda zake wakianza kumponda mama Samia kwa kufungua mipaka ma Kenya.
Hoja zao zilizokufa:
1. Ooh Kenya iko juu kiuchumi watatuzidi tukiwapa gesi
2. Ooh Kenya wana viwanda vingi vyetu vitakufa kisoko.
3. Ooh Kenya watafaidika kuliko sisi n.k.
Sasa kama mtanzania unaogopa changamoto katika maisha utajijuaje kama una akili? Mama kashafungua mipaka na uadui uliowekwa na mwenda zake.
Kama hauko tayari kuzidiwa na Kenya kiuchumi unachukua hatua gani? Ww endelea kulia lia wenzio tayari washaona fursa.
Katika malalamiko hayo huwezi kukuta mchaga analalamika ujinga kama huo sababu tayari ni fursa.
Asante mama Samia kwa kurahisisha biashara, naona unatembelea njia ya JK
Mtembea bure si sawa na mkaa bure jifungieni nchini mwenu wenzenu tayari wanaranda kupiga pesa.
Haina faida ukiona hivyo kama unataka na ww changamkia fursa maana naona unawaza ngono tu,ndio maana mnaishia kulia lia kuhusu ushindani. 70% mawazo yako ni ngonoWakenya wanawa.to.mbea wake zenu hapo na kuwazalishia watoto kila siku mbona hamkuona ni fursa nyie kufanya hivyo Kenya?
Asante yan Magufuli aliwadekeza sana watanzania,wakapenda kuitwa mnyonge wakashangalia,hawataka changamoto yoyote katika maisha yao.Wanyonge bado wapo ila watafutika tu mdogo mdogo,maana mnyonge mwenzao hayupo
Sijakuelewa kabisa... ongezea volume kidogo. Endelea kulia lia tu usisome wala kufungua akili kalia majungu uone utapata niniEti wachaga?!! wachaga kitu gani hitoria ya mababu zenu ndio inawabeba lakni kiuhalisia kabisa hawako Kama wanavyosifika kwa nje