Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Yaani kutwa kulia-lia na kuzusha vya kizusha kisa tu Kenya wapo mbele zaidi.
teh🤣Ulipoweka neno wachaga hapo ndio nimeona huna akili.
Wakenya wanawa.to.mbea wake zenu hapo na kuwazalishia watoto kila siku mbona hamkuona ni fursa nyie kufanya hivyo Kenya?
Mnataka turuhusu kila kitu wakenya waje kuwaondoa kabisa kwenye familia zenu?
Ama umesahau wachaga mmewahi kukodi wanaume kutoka kenya waje kuw.ato.mbea wake zenu na mabinti zenu?
Yani we huoni tatizo wake zenu kufikia hatua ya kuomba msaada kwa nchi jirani iwatimizie majukumu yaliyowashinda😂!Haina faida ukiona hivyo kama unataka na ww changamkia fursa maana naona unawaza ngono tu,ndio maana mnaishia kulia lia kuhusu ushindani. 70% mawazo yako ni ngono
Hata Mwl Nyerere hakuruhusu lasrimali za Taifa kuvunwa mpaka tupate watazania wataalam,wasomi,unalazimishaje kushindana bila ya kuwa na maandalizi kuingia kwenye ushindani? huo ni upumbaf😎Ushajijua una kasoro hiyo unachukua hatua gani ili kuimaliza? Au umeridhika kukaa na ujinga?
""YAANI WEWE AKILI YAKO INAWAZA HAYA MATUNDU TU" its very funny indeed ....#few_tanz_minds.Ulipoweka neno wachaga hapo ndio nimeona huna akili.
Wakenya wanawa.to.mbea wake zenu hapo na kuwazalishia watoto kila siku mbona hamkuona ni fursa nyie kufanya hivyo Kenya?
Mnataka turuhusu kila kitu wakenya waje kuwaondoa kabisa kwenye familia zenu?
Ama umesahau wachaga mmewahi kukodi wanaume kutoka kenya waje kuw.ato.mbea wake zenu na mabinti zenu?
Hata Mwl Nyerere hakuruhusu lasrimali za Taifa kuvunwa mpaka tupate watazania wataalam,wasomi,unalazimishaje kushindana bila ya kuwa na maandalizi kuingia kwenye ushindani? huo ni upumbaf
Kwa manufaa ya mama mwenyewe asipoendeleza mchakato wa katiba mpya ndo basi tena, nafasi hii haitapatikana tenaBila haya Mazezeta ya Mataga tungekuwa mbali sana
Mama kaamua kuwatosa nasi tunamuunga mkono
Ni rahisi kukaa na Uongozi wa Mama unaojali haki za binadamu kuliko genge la Mataga linalopenda kuona Watanzania wakiteswa wakiuwawa na kubambikiwa kesi za kila aina
Kilichobakia kwa Mama ni Mchakato wa Katiba mpya Kero za Muungano kuivunja Tume ya Uchaguzi
Kulivunja Bunge na kuunda serikali ya Mseto na mpito hadi uchaguzi mkuu
Swala la Katiba ni Bomu linalokuja kuiangamiza Nchi na Muungano pia wakilidharau hatuna Nchi nyingine.Kwa manufaa ya mama mwenyewe asipoendeleza mchakato wa katiba mpya ndo basi tena, nafasi hii haitapatikana tena
Naamini mama analivutia kasi tu mwenyewe anaitakaSwala la Katiba ni Bomu linalokuja kuiangamiza Nchi na Muungano pia wakilidharau hatuna Nchi nyingine.
Hiyo Katiba ni ya Chama Kimoja tunataka Katiba ya Wananchi itakayokuja na Mfumo wa Kiutawala wenye kuakisi Tanzania ya Kidemokrasia.
Katiba mpya itaondoa Kero na Sintofamu za Muungano na Mama analijua hiloNaamini mama analivutia kasi tu mwenyewe anaitaka
Akawaita wanyonge na mkawa wonyonge kweli, waje Wakenya tushandane nao, Survival of the fittestHata Mwl Nyerere hakuruhusu lasrimali za Taifa kuvunwa mpaka tupate watazania wataalam,wasomi,unalazimishaje kushindana bila ya kuwa na maandalizi kuingia kwenye ushindani? huo ni upumbaf😎
Inasikitisha sana,kuna jitu likiitwa Mnyonge anashangilia sasa madhara yake ndio haya hawataki kushindana sababu baba yao hakuwazoesha kushindanaAkawaita wanyonge na mkawa wonyonge kweli, waje Wakenya tushandane nao, Survival of the fittest
Inasikitisha sana,kuna jitu likiitwa Mnyonge anashangilia sasa madhara yake ndio haya hawataki kushindana sababu baba yao hakuwazoesha kushindana
Kuna jinga limesema sisi bado sana hatuwezi kushindana nao sababu uchumi wetu hauruhusu... inaingia akilini kweli? Ethiopia ilikuwa miaka ya 80s sasa ikoje? Jiwe kawachia laana ya kifikraWajinga sana hawa watu ukiangalia mtu wa hivi huenda anatoka kwenye maeneo yenye hali mbaya sana kiuchumi, ingawa wana rasimali kibao, wanazichukulia kama hiziri, shenzi sana.
Hayana akili hayo mkuu.
Mimi nimefanya projects na raia wa nchi zote za Afrika mashariki. Naomba kukiri kua Wakenya wanaonekana wako mbele hatua 3 hadi tano zaidi yetu.
Unakumbuka hata Spika Ndugai aliwahi kutoa mfano wa elimu ya Kenya ya vyuo vikuu iko tofauti na hii ya vijana wanaokalilishwa wafaulu mitihani, watu wanakomaa tu ili wafaulu mitihani.
Leo hii vijana wanalia hawana ajira, ukiruhusu wakenya waje kuongeza ushindani kwenye soko la ajira zetu za ndani ukiondoa za serikali, hakuna atakaepata kazi halafu wataanza tena kulia wakenya wanachukua ajira zao.
Kama wanataka turuhusu tu soko huria raia yoyote wa taifa lolote aje Tanzania awe huru kuajiriwa, kwa nini wawe wakenya tu, turuhusu wote waje tupambane humu ndani full stop.
MACCM wengi ni mambumbumbu hayawezi kushughulisha akili hawawezi kuona nje ya box wamezoea kitonga hii sasa ni fursa kwa wasomi wa chadema na vyama vingine waliopitia shuruba na mikiki mingi zama za mwendazake,Mataga lazima waisome namba hadi waamke kwenye usingizi wa pono siyo leoNimepitia nyuzi nyingi sana naona wanazi wa kwenda zake wakianza kumponda mama Samia kwa kufungua mipaka ma Kenya.
Hoja zao zilizokufa:
1. Ooh Kenya iko juu kiuchumi watatuzidi tukiwapa gesi
2. Ooh Kenya wana viwanda vingi vyetu vitakufa kisoko.
3. Ooh Kenya watafaidika kuliko sisi n.k.
Sasa kama mtanzania unaogopa changamoto katika maisha utajijuaje kama una akili? Mama kashafungua mipaka na uadui uliowekwa na mwenda zake.
Kama hauko tayari kuzidiwa na Kenya kiuchumi unachukua hatua gani? Ww endelea kulia lia wenzio tayari washaona fursa.
Katika malalamiko hayo huwezi kukuta mchaga analalamika ujinga kama huo sababu tayari ni fursa.
Asante mama Samia kwa kurahisisha biashara, naona unatembelea njia ya JK
Mtembea bure si sawa na mkaa bure jifungieni nchini mwenu wenzenu tayari wanaranda kupiga pesa.
tangu alipokuwa raisi,samia hakuchaguliwa na ccm ni kwa katiba ya nchiTangu lini chadema wakamtakia mema Samia wa ccm?