MATAGA acheni uoga,umizeni vichwa sio kuiona Kenya kama adui

teh🤣
Bado tuna wajinga wengi nchi hii ambao hawapendi kutumia akili zao kutafakari mambo haya badala yake wanaingiza ushabiki tu wa kijinga.Nakumbuka miaka ya 2013,14 walijaa wakenya hapa wakateka soko la kwenye ma bar na hotels vilio vikaanza.
Wachina pia walivamia kariakoo pale,pia vilio vya wabongo vikasikika wakidai kuporwa ajira, lkn leo yameshasau.
 
Bila haya Mazezeta ya Mataga tungekuwa mbali sana

Mama kaamua kuwatosa nasi tunamuunga mkono

Ni rahisi kukaa na Uongozi wa Mama unaojali haki za binadamu kuliko genge la Mataga linalopenda kuona Watanzania wakiteswa wakiuwawa na kubambikiwa kesi za kila aina

Kilichobakia kwa Mama ni Mchakato wa Katiba mpya Kero za Muungano kuivunja Tume ya Uchaguzi

Kulivunja Bunge na kuunda serikali ya Mseto na mpito hadi uchaguzi mkuu
 
Haina faida ukiona hivyo kama unataka na ww changamkia fursa maana naona unawaza ngono tu,ndio maana mnaishia kulia lia kuhusu ushindani. 70% mawazo yako ni ngono
Yani we huoni tatizo wake zenu kufikia hatua ya kuomba msaada kwa nchi jirani iwatimizie majukumu yaliyowashinda😂!
 
Ushajijua una kasoro hiyo unachukua hatua gani ili kuimaliza? Au umeridhika kukaa na ujinga?
Hata Mwl Nyerere hakuruhusu lasrimali za Taifa kuvunwa mpaka tupate watazania wataalam,wasomi,unalazimishaje kushindana bila ya kuwa na maandalizi kuingia kwenye ushindani? huo ni upumbaf😎
 
""YAANI WEWE AKILI YAKO INAWAZA HAYA MATUNDU TU" its very funny indeed ....#few_tanz_minds.
 
victor solomon

Kwa hiyo unajikubali bafo hujawa na akili mapaka uiogope Kenya? Yan toka upate uhuru miaka 60 imepita bado kuna wapumbavu kama nyie? Mna maoni ya miaka 1960s dah tuna safari ndefu kwa akili hizi
 
Kwa manufaa ya mama mwenyewe asipoendeleza mchakato wa katiba mpya ndo basi tena, nafasi hii haitapatikana tena
 
Kwa manufaa ya mama mwenyewe asipoendeleza mchakato wa katiba mpya ndo basi tena, nafasi hii haitapatikana tena
Swala la Katiba ni Bomu linalokuja kuiangamiza Nchi na Muungano pia wakilidharau hatuna Nchi nyingine.

Hiyo Katiba ni ya Chama Kimoja tunataka Katiba ya Wananchi itakayokuja na Mfumo wa Kiutawala wenye kuakisi Tanzania ya Kidemokrasia.
 
Naamini mama analivutia kasi tu mwenyewe anaitaka
 
Naamini mama analivutia kasi tu mwenyewe anaitaka
Katiba mpya itaondoa Kero na Sintofamu za Muungano na Mama analijua hilo

Dawa ni Serikali Tatu au Serikali ya Kimkataba

Mpango wa Kuimeza Zanzibar umaliziwe mbali.
 
Hata Mwl Nyerere hakuruhusu lasrimali za Taifa kuvunwa mpaka tupate watazania wataalam,wasomi,unalazimishaje kushindana bila ya kuwa na maandalizi kuingia kwenye ushindani? huo ni upumbaf😎
Akawaita wanyonge na mkawa wonyonge kweli, waje Wakenya tushandane nao, Survival of the fittest
 
Akawaita wanyonge na mkawa wonyonge kweli, waje Wakenya tushandane nao, Survival of the fittest
Inasikitisha sana,kuna jitu likiitwa Mnyonge anashangilia sasa madhara yake ndio haya hawataki kushindana sababu baba yao hakuwazoesha kushindana
 
Inasikitisha sana,kuna jitu likiitwa Mnyonge anashangilia sasa madhara yake ndio haya hawataki kushindana sababu baba yao hakuwazoesha kushindana

Wajinga sana hawa watu ukiangalia mtu wa hivi huenda anatoka kwenye maeneo yenye hali mbaya sana kiuchumi, ingawa wana rasimali kibao, wanazichukulia kama hiziri, shenzi sana.
 
Wajinga sana hawa watu ukiangalia mtu wa hivi huenda anatoka kwenye maeneo yenye hali mbaya sana kiuchumi, ingawa wana rasimali kibao, wanazichukulia kama hiziri, shenzi sana.
Kuna jinga limesema sisi bado sana hatuwezi kushindana nao sababu uchumi wetu hauruhusu... inaingia akilini kweli? Ethiopia ilikuwa miaka ya 80s sasa ikoje? Jiwe kawachia laana ya kifikra
 
Kilaumu chama chako kilichoifanya nchi kuwa na wananchi wasio na uwezo wa kupambana katika soko la ajira na majirani zake.
 
MACCM wengi ni mambumbumbu hayawezi kushughulisha akili hawawezi kuona nje ya box wamezoea kitonga hii sasa ni fursa kwa wasomi wa chadema na vyama vingine waliopitia shuruba na mikiki mingi zama za mwendazake,Mataga lazima waisome namba hadi waamke kwenye usingizi wa pono siyo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…