MATAGA acheni uoga,umizeni vichwa sio kuiona Kenya kama adui

Naunga hoja kwa nguvu zote! Tuamke .how come unamhofia binadamu mwenzako? Aisee hili taifa lina laana sana
 
Wengine wala hatuigopi Kenya wala Wakenya tuna waonea huruma nyinyi wadogo zetu ambao kila siku humu mnalialia hamna ajira na mitaji hamna na degree zenu. Sasa ajira zenyewe haziwatoshi mtaweza kuzigombea na Wakenya?
We msukuma wai ukalinde kaburi la mungu wenu uko chattle, hapo dhiki imekupiga hadi umekuwa kituko
 
Wai chattle binti ukalinde kaburi la mungu wenu, naona bashite anawawekea bundle mumtusi Rais mitandaoni,
Aisee hebu onesha nilipomtusi Rais. Nakwambia wewe stress zinakuharibu.
 
Umesahau ni hawahawa wakenya walishawahi kuzuia magari kutoka tanzania kuingia nchini mwao kubeba watalii wanaokuja Tanzania mpaka marais kuingilia mgogoro huo?unafikiri kwanini walifanya hivyo?
Unafikiri kwanini maombi ya baadhi ya watanzania kuhusu dual citizenship yakipigiwa chapuo na wakenya kupitia jumuia ya Africa Mashariki,bado ni kitendawili nchini?
Ewe mtanzania,wacha kushabikia ujinga,kuwa mzalendo kwa manufaa ya Taifa lako.
 
Akawaita wanyonge na mkawa wonyonge kweli, waje Wakenya tushandane nao, Survival of the fittest
Aliwaita au aliwakuta wanyonge kutokana na kudhulumiwa lasrimali zao na wajanja bila ya wao kunufaika na chocjote,wacha ujinga ewe mtanzania.
 
Aneiona Kenya kama adui Kikwete alisema ni Wapumbavu na watu kama hao ni Wachache sana kwetu

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Wakati wa Kikwete watz tulifanya sana biashara na Kenya,mpaka leo hii Kariakoo kuna kimtaa kinaitwa Eastleigh sababu ya mtaa pale Nairobi unaitwa hivyo. Leo hii haiuna tena watz wanaokwenda kuchukua biashara kule
 
Tunashukuru tumepata Rais mwenye maono aneyetaka watu wasonge mbele

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Kwann hiyo migogoro haikutokea kipindi cha JK? Na ndio tulikua karibu Zaidi?
 
Aliwaita au aliwakuta wanyonge kutokana na kudhulumiwa lasrimali zao na wajanja bila ya wao kunufaika na chocjote,wacha ujinga ewe mtanzania.
Acha ujinga uendelee una fikra za kisoro sana. Au kwa kuwa unakula na kulala kwa shemeji yako?
 
Aliwaita au aliwakuta wanyonge kutokana na kudhulumiwa lasrimali zao na wajanja bila ya wao kunufaika na chocjote,wacha ujinga ewe mtanzania.
Kama unaakili sawa sawa unakuwaje mnyonge bana, badilikeni achemi hiyo mitazamo ya kinyonge mkibaki na hizo akili za kinyonge mtapigwa sana.
 
How sagacious Shakespeare was!

“Cowards dies many times before their true death.

The valiant man dies but once.....”

Fellas you are alluding to are cowards. And worse still, they want us all to die their many deaths.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…