MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

Mtu mzalendo kweli asingemtimua CAG Assad
Huenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every one
 
Kwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya jk?

Mkuu inatupa picha kuwa labda kuna agenda nyingine. Ndiyo maana rasmi kabisa tumelazimika kuomba mwongozo wenu:

 
Mzalendo kujenga uwanja was ndege kijijini kwake?
Kwan wale wa chato sio watanzania?, pia ongezea uzalendo ni pamoja na kurekebisha mikataba ya madini, kuwabana mafisadi, kujenga bwawa la nyerere n.k
 
Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.

Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR,Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa wanashangilia.

Leo bandari inataka kuanza wanajifanya wazalendo,unafiki tu
Unataka ku-suggest wanaopinga mradi wa kifisadi wa Bagamoyo ni MATAGA tu? Na unataka kusema kwa vile yalifanyika makosa ya kutohoji hiyo mikataba basi na huu usihojiwe?
 
Kweli aliyesema mbomoa nchi ni Mwananchi hakukosea hata chembe....

Tukumbuke hii nchi sio ya CCM. Chadema wala Samia.., wala haikuwa ya Magufuli, Kikwete wala Mwinyi.., na sio ya kwetu kizazi cha sasa pekee bali hata kizazi cha kesho na keshokutwa...

Hivyo basi ni vema mikataba yote ikawa wazi, yote, sababu tumedanganywa sana huko nyuma (Fool me once, Shame on you... Fool me Twice Shame on me)...

Kwenye hili huenda Magufuli alitudanganya kwamba mkataba una masharti mabovu sana..., sasa amefariki tunaambiwa hapana mkataba ni mzuri (sasa je ni vema tuendelee kuwaamini waongo au tujiridhishe ukweli ni upi), hata kama alidanganya kwenye mengi hapo nyuma, je na hili alidanganya? Na huu ndio uwe mwanzo wa mikataba kuwa wazi sio sababu watu hawakusema mwanzo ndio waendelee kukaa kimya....

The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything ― Albert Einstein
 
Huenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every one
Magu alikuwa mgonjwa wa akili, siyo mzalendo! Mfano mmoja ni upuuzi aliofanya kijijini kwake kwa hiyo miaka mi5, stupid president
 
Toka waambiwe wanaruksa ya kukosoa na kutoa ushauri basi imekua kero...
 
Back
Top Bottom