tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 403
- 762
Huenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every oneMtu mzalendo kweli asingemtimua CAG Assad
Mzalendo kujenga uwanja was ndege kijijini kwake?Huenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every one
Kwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya jk?
Kwan wale wa chato sio watanzania?, pia ongezea uzalendo ni pamoja na kurekebisha mikataba ya madini, kuwabana mafisadi, kujenga bwawa la nyerere n.kMzalendo kujenga uwanja was ndege kijijini kwake?
Unataka ku-suggest wanaopinga mradi wa kifisadi wa Bagamoyo ni MATAGA tu? Na unataka kusema kwa vile yalifanyika makosa ya kutohoji hiyo mikataba basi na huu usihojiwe?Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.
Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR,Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa wanashangilia.
Leo bandari inataka kuanza wanajifanya wazalendo,unafiki tu
Kama ni mambo mazuri why yasirudishwe? Mbona mnalia kila siku humu mambo mazuri ya jiwe yaendelezwe? Unaamini jk alikuwa na mabaya tu bila zuri lolote?Kwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya jk?
Magu alikuwa mgonjwa wa akili, siyo mzalendo! Mfano mmoja ni upuuzi aliofanya kijijini kwake kwa hiyo miaka mi5, stupid presidentHuenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every one
Mgonjwa alietupeleka uchumi wa kati na kurekebisha mikataba ya madiniMagu alikuwa mgonjwa wa akili, siyo mzalendo! Mfano mmoja ni upuuzi aliofanya kijijini kwake kwa hiyo miaka mi5, stupid president
Samahani kidogo ndugu, kwa hiyo unamaanisha kuwa Ndugai ni Mchawi?Wewe bila shaka ni mchawi. Maana uchawi huondoa akili kichwani.
Ninakushauri ukamuulize vizuri Propesa Kabundi.Mgonjwa alietupeleka uchumi wa kati na kurekebisha mikataba ya madini
Kabundi ndio nani?Ninakushauri ukamuulize vizuri Propesa Kabundi.
Uwezekano mkubwa utaishia kuanguka kwa kizunguzungu
Wasukuma ni desturi kutembea na mifugo, lkn sio km hakuna usafiriUnajua chato bado wanapanda punda?
Never,never and never againKwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya jk?