BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
SEPTEMBER 2020
#Jamaa: Lissu ni kibaraka wa mabeberu. Amepewa pesa na mabeberu kuja kuharibu amani ya Tanzania. Magufuli tano tena.!
#Mimi: Bro hiyo sio siasa. Jadili issues acha kuattack personalities.
#Jamaa: Na wewe kashakugawia pesa za mashoga alizopewa? Mtapata tabu sana mwaka huu. Magufuli Tano tena.!
#Mimi: mi nadhani siasa ni sawa na njia ya kwenda Arusha. Mmoja akapita Bagamoyo na mwingine akapita Chalize. Hakuna sababu ya kumchukia mwenzio au kumtukana kwa sababu amechagua njia tofauti na wewe. Ni ushamba.
#Jamaa: Mtateseka sana bro. Una akili nyingi lakini sijui unafanya nini huko upinzani. Hawawezi kukutumia. Hao ni vibaraka wa mabeberu achana nao, njoo CCM fursa zipo kibao.
#Mimi: Bro upinzani ni umuhimu. Unasaidia kuibua mawazo mbadala na yanafanyiwa kazi. Upinzani unapigia kelele kero zilizopo kwenye jamii na zinatatuliwa. Upinzani ni "watchdog" wa serikali kwenye utendaji.
#Jamaa: Labda "watchdog" wa mabeberu. Serikali ya JPM haihitaji watchdog. Kila kitu kinaenda kama kinavyotakiwa kuwa. Magufuli tano tena.!
JANUARY 2021
#Jamaa: Bro mambo vp? Kaka yetu mkubwa amekamatwa tangu Oktoba mwaka jana hajapewa dhamana. Alituhumiwa kupewa rushwa na wazabuni waliokua wameomba tenda ofisini kwao lakini kesi imebadilishwa kuwa uhujumu uchumi. Akaunti zake zote zimefungwa, mke na watoto wanateseka sana wameshindwa kwenda hata shule. Akaunti zote wamezifreeze. Tusaidie kulisemea hili kaka. Nipigie nikupe more details.
#Mimi: Kaka, serikali ya JPM haihitaji watchdog. Inafanya mambo vile yanavyotakiwa kuwa. Magufuli tano tena.!
Malisa GJ