Ujue dhahabu haishuki thamani, zaidi inapanda, sasa unaweza kuta tanzania hata stock ndogo tu hatuna. Na wakati inapatikana hapa hapa.tunalaana BOT wenyewe hawataki kununua, acha wazungu wazichukue
Hiyo dhahabu inaliwa? Asset pekee isiyo na shaka ni Ardhi, basi! Leo kila mtu aseme anauza dhahabu yake basi bei ya kilo ya dhahabu itakuwa sawa na korosho#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy
2.Ujerumani
1.Marekani
Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Dhahabu ni pesa. Huwezi fananisha Dhahabu na ardhi. Vyote vina umuhimu wake wa kipekeeHiyo dhahabu inaliwa? Asset pekee isiyo na shaka ni Ardhi, basi! Leo kila mtu aseme anauza dhahabu yake basi bei ya kilo ya dhahabu itakuwa sawa na korosho
Elewa essence ya hoja yangu, Dhahabu is only as valuable as people are willing to pay for it, mtu anaweza akaishi bila dhahabu bila shida yeyote ile, lakini lazima uishi juu ya Ardhi.Dhahabu ni pesa. Huwezi fananisha Dhahabu na ardhi. Vyote vina umuhimu wake wa kipekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you normal?Hiyo dhahabu inaliwa? Asset pekee isiyo na shaka ni Ardhi, basi! Leo kila mtu aseme anauza dhahabu yake basi bei ya kilo ya dhahabu itakuwa sawa na korosho
Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
"Kila mtu akisema anauza" anaitoa wapi? upatikanaji wa dhahabu ni sawa na aridhi?Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
Kila mtu akisema aiuze? Kila mtu anayo? Unaongea as if wananchi wanayo dhahabu nyumbani kwao wanasubilia ipande bei waiuze! Kuwa serious kidogo basi.Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
fafanua kidogo mkuuWanawake India wanahodhi dhahabu ya thamani ya $900b
Ambapo ni sawa na 11%ya dhahabu iliyopo duniani
Sent from my SM using Tapatalk
Hitachi kwa maana ya deposit ktk ardhi au kwa kununua dhahabu na kuihifadhi?#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy
2.Ujerumani
1.Marekani
Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app