Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬
‪10.India‬
‪9.Uholanzi‬
‪8.Japan‬
‪7.Switzerland‬
‪6.China‬
‪5.Urusi‬
‪4.France‬
‪3.Italy‬
‪2.Ujerumani‬
‪1.Marekani‬

Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwa
FB_IMG_1548755268558.jpeg
FB_IMG_1548755262738.jpeg

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬
‪10.India‬
‪9.Uholanzi‬
‪8.Japan‬
‪7.Switzerland‬
‪6.China‬
‪5.Urusi‬
‪4.France‬
‪3.Italy‬
‪2.Ujerumani‬
‪1.Marekani‬

Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690

Hiyo dhahabu inaliwa? Asset pekee isiyo na shaka ni Ardhi, basi! Leo kila mtu aseme anauza dhahabu yake basi bei ya kilo ya dhahabu itakuwa sawa na korosho
 
Dhahabu ni pesa. Huwezi fananisha Dhahabu na ardhi. Vyote vina umuhimu wake wa kipekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa essence ya hoja yangu, Dhahabu is only as valuable as people are willing to pay for it, mtu anaweza akaishi bila dhahabu bila shida yeyote ile, lakini lazima uishi juu ya Ardhi.
 
Are you normal?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
 
"Kila mtu akisema anauza" anaitoa wapi? upatikanaji wa dhahabu ni sawa na aridhi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake India wanahodhi dhahabu ya thamani ya $900b
Ambapo ni sawa na 11%ya dhahabu iliyopo duniani

Sent from my SM using Tapatalk
 
Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
Kila mtu akisema aiuze? Kila mtu anayo? Unaongea as if wananchi wanayo dhahabu nyumbani kwao wanasubilia ipande bei waiuze! Kuwa serious kidogo basi.
 
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬
‪10.India‬
‪9.Uholanzi‬
‪8.Japan‬
‪7.Switzerland‬
‪6.China‬
‪5.Urusi‬
‪4.France‬
‪3.Italy‬
‪2.Ujerumani‬
‪1.Marekani‬

Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Hitachi kwa maana ya deposit ktk ardhi au kwa kununua dhahabu na kuihifadhi?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom