nchi mbalimbali zinakopa hapo(IMF) nafikiri ushapata jibu hiyo IMF ni nini hasaIMF nayo ni inchi mkuu??
Kumbuka kijijini kuna ardhi zinauzwa mpaka 100,000/= na kubwa. Kuna baadhi ya vijiji ardhi aina thamani kabisa unaenda kwa mwenyekiti anakukatia. Thamani ya ardhi ipo so specific. Thamani ya ardhi ya kitongoji kizima kijijini lindi inaweza isizidi ardhi ya heka moja masaki. Watu wanahifadhi utajiri kwenye dhahabu au dollar kwa sababu zipo fixed dunia nzima na effect ya bei yake ni ya dunia nzima. Pili soko la dhahabu lipo muda wote linakusubili wewe mwenye dhahabu sasa ukitaka kuhamisha ardhi kwenye pesa ni mchakato pia.Namaanisha kila mwenye nayo aipeleke sokoni kwa mkupuo, pia unaweza kuishi bila dhahabu, ila ni lazima uishi juu ya ardhi
Africa ni Sauz tuu dah? Na usikute ni kwasababu ya mabeberu
Watasikia tu ndani ya muda mfupi mbele ya maagizo ya mheshimiwa Rais.Namuunga mkono Jiwe kwa sisi kuwa na hifadhi ya dhahabu tatizo BOT wanaambiwa lakini hawasikii. Tutafika tu lakini.
Hitachi kwa maana ya deposit ktk ardhi au kwa kununua dhahabu na kuihifadhi?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo avatar ni yako, basi mi sio normal
Unafahamu kwamba hata chumvi watu walitumia kama means of exchange? Je, utasema chumvi ni hazina?Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Arithini
Assume mimi na wewe tuko peke yetu jangwani, wewe una dhahabu na mimi nina mkate huo unaosema, hivi mimi kwa akil zangu nikupe kabisa mkate kwa kipande cha dhahabu, nimerogwa?
Anything has value as only as people are ready to pay it.....Value ni makutano kati ya mnunuzi na muuzaji. Ardhi uwezo wa kushuka bei upo. Compare kipind cha JK na sasa hivi kuna maeneo bei ya Ardhi imeshuka....Thamani ya kiwanja haipadni tu year after kama watu wengi wanavyofikiri...Kuna many underlying factors.Elewa essence ya hoja yangu, Dhahabu is only as valuable as people are willing to pay for it, mtu anaweza akaishi bila dhahabu bila shida yeyote ile, lakini lazima uishi juu ya Ardhi.
Nchini yoyote Gold reserve lazima iwepo.