Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.

Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.

Namaanisha kila mwenye nayo aipeleke sokoni kwa mkupuo, pia unaweza kuishi bila dhahabu, ila ni lazima uishi juu ya ardhi
Kumbuka kijijini kuna ardhi zinauzwa mpaka 100,000/= na kubwa. Kuna baadhi ya vijiji ardhi aina thamani kabisa unaenda kwa mwenyekiti anakukatia. Thamani ya ardhi ipo so specific. Thamani ya ardhi ya kitongoji kizima kijijini lindi inaweza isizidi ardhi ya heka moja masaki. Watu wanahifadhi utajiri kwenye dhahabu au dollar kwa sababu zipo fixed dunia nzima na effect ya bei yake ni ya dunia nzima. Pili soko la dhahabu lipo muda wote linakusubili wewe mwenye dhahabu sasa ukitaka kuhamisha ardhi kwenye pesa ni mchakato pia.
 
Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kwamba hata chumvi watu walitumia kama means of exchange? Je, utasema chumvi ni hazina?
 
Elewa essence ya hoja yangu, Dhahabu is only as valuable as people are willing to pay for it, mtu anaweza akaishi bila dhahabu bila shida yeyote ile, lakini lazima uishi juu ya Ardhi.
Anything has value as only as people are ready to pay it.....Value ni makutano kati ya mnunuzi na muuzaji. Ardhi uwezo wa kushuka bei upo. Compare kipind cha JK na sasa hivi kuna maeneo bei ya Ardhi imeshuka....Thamani ya kiwanja haipadni tu year after kama watu wengi wanavyofikiri...Kuna many underlying factors.
 
Back
Top Bottom