Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Sasa hapo AL MDB, si inamilikiwa na YEMENI?. au ni international water?.
Angalia vizuri ni mataifa mangapi yamepitiwa na Red sea, sasa kila mmoja akidai ni yake kinachufuatia ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo AL MDB, si inamilikiwa na YEMENI?. au ni international water?.
China na Urusi kama hawamo humo basi huo muungano wa Mashoga watupu waiingie vitani na Yemen waone.Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari.
===================
More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says.
The Iran-backed Houthis have repeatedly targeted vessels in the vital shipping lane with strikes they say are in support of Palestinians in Gaza, where Israel is battling terror group Hamas following its unprecedented attack on Israel on October 7.
“We’ve had over 20 nations now sign on to participate” in the coalition, Pentagon spokesman Major General Pat Ryder tells journalists.
lini Yemen kasema red sea ya kwake? Alichosema hataki Meli za Israel zimepite eneo lake kwenye Israel nchi zote zenye bahari pia zina mipaka ndani ya bahari.View attachment 2849513
Angalia vizuri ni mataifa mangapi yamepitiwa na Red sea, sasa kila mmoja akidai ni yake kinachufuatia ni nini?
Hapo HOUTHI anadeal na BAB EL MANDEB tu, nasio RED SEA yote. Sasa wao wapitishe waone, mbona walimzuia RUSIA kupitisha meli zake Kwa baadhi ya maeneo akatii, hicho nikikwazo ambacho YEMEN kawawekea Israel Kwa sharti kwamba Israel aruhusu misaada ya kibinadamu iingie Gaza, vinginevyo nae hakuna meli itakayoelekea Israeli itakayopita hapo. CHINA&RUSSIA mbona meli zao zimepita juzi na Jana. Israel aruhusu misaada yakibinadamu Gaza nae aruhusiwe meli zake zipite hapo, mbona MALYESIA kazuia meli zinazoelekea Israel kupita katika maji yake mbona hatusikii makelele?.View attachment 2849513
Angalia vizuri ni mataifa mangapi yamepitiwa na Red sea, sasa kila mmoja akidai ni yake kinachufuatia ni nini?
Ata sisi tunaweza kukataa bomba la mafuta kutoka uganda lisipite kwetu na tusihojiwe na taifa lolote maana hilo haliwahusu, sasa ni vipi kumuona USA kachemka...
hawezi hana ubavu miaka yote anategemea muungano kama yeye kidume aende mwenyewe apeleke pmb eti pentagon anahaha hajui afanye nini akijichanganya tu akiingilia imekula kwao amekuwa mbayuwayu hatulii mavi debeTumeshindwa msahau Assad aliezuia Bomba lisipitishwe toka Qatar kwenda huko west, Sembuse Iran?. Mimi nilitegemea muungano ungeundwa ili kuikomesha RUSSIA inayomuonea UKREIN, Sasa muungano mkubwa wakupambana eti na HOUTHI sivituko hivyo?.
Bado najiuliza Kwa Nini USA kashindwa kulinda hio RED SEA pekee yake?.
Hoja yako ni nzuri sana mkuu. Umeniongezea kitu. Kumbe ni Mungu anafanya kazi na Marekani na Israeli ktk kuwakomesha magaidi. Asante sana.Angalia huyu punguani daah yani hata Mungu kwake hana thamani wajinga kama hawa wapo wengi sana Tanzania.
Yesu kwako si mungu si alitundikwa msalabani umeishawahi kujiuliza mungu gani anapigwa na kuteswa?Hoja yako ni nzuri sana mkuu. Umeniongezea kitu. Kumbe ni Mungu anafanya kazi na Marekani na Israeli ktk kuwakomesha magaidi. Asante sana.
Sheria za kimataifa kuhusu ulinzi (self defense) ni kali sana, na ndiyo maana mataifa yanashindwa kuingia vita moja kwa moja. Jiulize kwa nini mataifa ya kiislam hadi sasa yanasita kuingia vitani kuishambulia Israel moja kwa moja - kwa nini Iran yupo kimya badala yake anatumia hao magaidi kufanya proxy war na si kwenda live.Bado najiuliza Kwa Nini USA kashindwa kulinda hio RED SEA pekee yake?.
sawa, swali nini kinamshinda Iran kuingia live kusaidia waislamu wanatekekea huko GAZA?, tunaambiwa hesabu za leo almost 20,000 washanyolewa ubongo. Anasubiri nini kuingia live badala ya hii njia yake ya kutumia proxy war akitumia hao magaidi wa Yemeni na kwingineko.Mtu mjinga asiyejua Iran ndo anaweza kusema hivyo
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
HOUTH/HAMAS/HEZBOLLAH sio magaidi, magaidi niwale wanaoshambulia hospital,shule nakuua maelfu ya watoto wasio nahatia.sawa, swali nini kinamshinda Iran kuingia live kusaidia waislamu wanatekekea huko GAZA?, tunaambiwa hesabu za leo almost 20,000 washanyolewa ubongo. Anasubiri nini kuingia live badala ya hii njia yake ya kutumia proxy war akitumia hao magaidi wa Yemeni na kwingineko.
Haya we HAMAS mwerevu wa bongo majibu tafadhali.
Marekani yeye anaprint dollar hao matsifa mengine yanaprint nini mfano AustriaUtu tu taifa 20 tutaaibika tu.Urusi kapigana na tutaifa zaidi ya 32,na wote wamepigika.
Usije niuliza Yemen ana Nini Cha maana,jiulize pia Hamas Wana Nini mwezi wa pili huu taifa lenye vikorokoro vyote vya kupigania wanapigika.
Kwanini wao wasimvamie ili kukomesha jeuri ya Urusi, kama walivyofanya Libya na Iraq? Kumbuka alichokifanya Urusi kuivamia Ukraine kinafanana na Kile Alichokifanya Saddam kuivamia Kuwait nwaka 1990.Kumbuka mrusi hajapigana na mataifa hayo uso kwa uso, sema wanampatia Ukraine silaha kama rafiki tu maana hakujiunga na umoja wao wa NATO hapo awali so, hawana sababu yeyote ya kumsaidia zaidi ya urafiki na ujirani.
Kama ukweli mrusi anajiona jeuri aachane na kupepesa avamie moja ya mwanachama wa NATO ndipo nitaona kweli jeuri...
Acha ujinga hakuna sheria ya self defense kwa nchi occupier kupigana vita na nchi iliyo occupieSheria za kimataifa kuhusu ulinzi (self defense) ni kali sana, na ndiyo maana mataifa yanashindwa kuingia vita moja kwa moja. Jiulize kwa nini mataifa ya kiislam hadi sasa yanasita kuingia vitani kuishambulia Israel moja kwa moja - kwa nini Iran yupo kimya badala yake anatumia hao magaidi kufanya proxy war na si kwenda live.
Kwa mfano Ukraine ana haki na kulipigania taifa lake, unachoweza kufanya ni kumsaidia tu na si kuingia live vitani - utakwisha - Kama Marekani ataingia live basi Korea na Uchina nao wanaweza kufanya hivyo hence vita kuu ya 3 ya Dunia.
Mfano mwingine kwa nini IRAN asiingie live kusaidia HAMAS kuishambulia Israel? hawezi kabisa maana akifanya hivyo basi itakuwa balaa kwa ulimwengu wetu. Vivyo hivyo US hawezi kwenda peke yake kulinda Red Sea ingawa anaweza sababu ya hizo hizo sheria, sasa badala yake ana mobilize mataifa mengine ili wafanye ulinzi kwa pamoja.
Toka lini Iran akaogopa kutengwa? Iran anajiweza wewe yuleHawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari.
===================
More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says.
The Iran-backed Houthis have repeatedly targeted vessels in the vital shipping lane with strikes they say are in support of Palestinians in Gaza, where Israel is battling terror group Hamas following its unprecedented attack on Israel on October 7.
“We’ve had over 20 nations now sign on to participate” in the coalition, Pentagon spokesman Major General Pat Ryder tells journalists.
Rudia kusoma hiyo taarifa vizuri, Yemen kasema hataki kuona meli yeyote ya mizigo au vita inayoelekea Israel au kutoka ikipita kwenye ile Rasi (mlango bahari)lini Yemen kasema red sea ya kwake? Alichosema hataki Meli za Israel zimepite eneo lake kwenye Israel nchi zote zenye bahari pia zina mipaka ndani ya bahari.
Hebu elewa usafiri wa majini siyo sawa na ardhini kwamba kuna barabara, wahuni wanaweza kutega misumari ila huyo Yemen anataka kumiliki ukanda wote wa bahari nyekundu kuanzia kwake hadi upande wa Djibouti na Eritrea ili mradi tu hao maharamia wakiona meli ya Israel wanavamiabau kuilipua....Hapo HOUTHI anadeal na BAB EL MANDEB tu, nasio RED SEA yote. Sasa wao wapitishe waone, mbona walimzuia RUSIA kupitisha meli zake Kwa baadhi ya maeneo akatii, hicho nikikwazo ambacho YEMEN kawawekea Israel Kwa sharti kwamba Israel aruhusu misaada ya kibinadamu iingie Gaza, vinginevyo nae hakuna meli itakayoelekea Israeli itakayopita hapo. CHINA&RUSSIA mbona meli zao zimepita juzi na Jana. Israel aruhusu misaada yakibinadamu Gaza nae aruhusiwe meli zake zipite hapo, mbona MALYESIA kazuia meli zinazoelekea Israel kupita katika maji yake mbona hatusikii makelele?.
Je wewe unalijua ? ....tupatie taarifa msemaji wa Syria kutoka namtumbo huko ndani ndani...Unajua sababu ya vita ya Syria? Huna unachojua ndomana.