Ukifikiria nje ya box utagundua huo mkutano utakuwa na nia ya kufanya mazungumzo na Brics kuishawishi iachane na Russia. Yaani huo mkutano ni kati ya NATO na BRICS - RussiaFikiria kama sio Ujinga ni nini?? Mhusika mkuu ni Russia halafu hayupo hapo sasa hao si wanakutana kunywa chai nankuondoka mana vikwazo vyao ngoma imewabumia uwanja wa vita wanachakazwa sana sasa waitane wanywe chai wapige picha waondoke muda huo Majeshi ya Urusi yatakua Kyiv.
Sasa kuna BRICS+ bila Russia ? Au nawe wajiandikia tuUkifikiria nje ya box utagundua huo mkutano utakuwa na nia ya kufanya mazungumzo na Brics kuishawishi iachane na Russia. Yaani huo mkutano ni kati ya NATO na BRICS - Russia
Tanganyika na Russia hamtakuwepo maana msimamo wetu unajulikana kuwa nyie ni wamoja.Tanganyika hatumo?
Bahati mbaya hujanielewa ninamaanisha niniSasa kuna BRICS+ bila Russia ? Au nawe wajiandikia tu
Na Papa alimwambia Ukraine sio vibaya kupandisha bendera "nyeupe" wakambishiaFikiria kama sio Ujinga ni nini?? Mhusika mkuu ni Russia halafu hayupo hapo sasa hao si wanakutana kunywa chai nankuondoka mana vikwazo vyao ngoma imewabumia uwanja wa vita wanachakazwa sana sasa waitane wanywe chai wapige picha waondoke muda huo Majeshi ya Urusi yatakua Kyiv.
Na Papa alimwambia Ukraine sio vibaya kupandisha bendera "nyeupe" wakambishia
😁😁😁😁😁 bila Putin kuwepo hicho ni kikoba tu.Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia.
Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 15 hadi 16 katika Hoteli ya Bürgenstock Hotel nchini humo.Taarifa iliyotolewa na Idara ya Mamlaka ya Mambo ya Nje ya Uswisi ilieleza kuwa waalikwa hao ni wanachama kutoka mataifa saba yenye nguvu kubwa ya uchumi (G7), G20, Umoja wa Ulaya (EU) Nchi wanachama wa Brics isipokuwa Russia.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, waalikwa wengine ni mashirika mbambali ya kimataifa na kidini.
“Hii itakuwa ni jitihada za tano kunurusu hali ya amani kati ya Russia na Ukraine. Wageni watatoka pia mataifa ya Afrika Kusini, Misri, Senegal, Congo-Brazzaville, Comoro, Zambia na Uganda ambao wataongozwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,” ilieleza taarifa hiyo.
Bendera nyeupe maana yake kutaka Amani na kujua kwamba mgogoro wao hautamalizwa Kwa vita Bali Kwa mazungumzo,.Kwamba waachie Ukraine ichukuliwe kisa bendera nyeupe?
Urusi imeshindwa kufumua hako ka-nchi
Bendera nyeupe maana yake kutaka Amani na kujua kwamba mgogoro wao hautamalizwa Kwa vita Bali Kwa mazungumzo,.
Unapofanya mazungumzo na mtu mwingine inamaanisha nchi kuchukuliwa?? Unapofanya mazungumzo ina maana ni jinsi gani mnatatua kilicho sababisha vita.Ndio nakuambia bendera nyeupe haitosaidia kitu, kwamba waachie nchi ichukuliwe kisa bendera nyeupe, wewe kwa akili zako unawaza mvamiwe na nchi jirani ichukue Tanzania kisa bendera nyeupe.....
Natumai hautakua ustaadhi maana ndio wanaaminishana huu ujinga.
Kwa nini Tanzania isingeiachia Uganda lile eneo la Kagera mwaka ule wa 1978❗❓Na Papa alimwambia Ukraine sio vibaya kupandisha bendera "nyeupe" wakambishia