Mataifa 50 kukutana Uswisi kujadili amani ya Ukraine na Urusi

Kwa nini Tanzania isingeiachia Uganda lile eneo la Kagera mwaka ule wa 1978❗❓
Kabla ya kutangaza vita juhudi Gani zilifanyika, Kwanza Mwalimu alitaka OAU, kulaani vitendo kile na ukitaka Uganda kuondoa majeshi yake na pia ukitaka Dunia kifanya hivyo kupitia UN. Baada ya hapo ndio ikafuatia hotuba
Ambayo ilikuwa na vitu vinne
Nia ya kupiga tunayo
Na uwezo wa kumpiga tunao.
Sasa Ukraine anaweza kuwa na Nia ya kumpiga Urusi lakini uwezo je anao??
Hivyo tofautisha vita vya Ukraine na Urusi na vya Tz na Ug, au Iraq na Iran, Somalia na Ethiopia, vya Ogaden , Biafra, NK nk
 
Bendera nyeupe maana yake kutaka Amani na kujua kwamba mgogoro wao hautamalizwa Kwa vita Bali Kwa mazungumzo,.
🙄🙄🙄
Screenshot_20240509-124635.png
 
Unapofanya mazungumzo na mtu mwingine inamaanisha nchi kuchukuliwa?? Unapofanya mazungumzo ina maana ni jinsi gani mnatatua kilicho sababisha vita.
Tuchukulie hutaki mazungumzo, je hiyo vita unayopigana inakusaidia kitu ikiwa kupigwa Una pigwa na Ardhi inatekwa. Kwa hiyo hapa unaopata hasara mara mbili ya kupigwa na Ardhi kutekwa.
Wakati Bendera nyeupe utaokoa maisha ya Askari wako na miundo mbinu nchi.
Makaburu SA walikubaliana na Hilo

Jirani kakurupuka huko anateka ardhi yako halafu ufanye naye mazungumzo? Hakuvamiwa wala kuchokozwa, kaamka siku moja na kuanza kujichukulia ardhi, kumbuka Urusi haijaanza kuchukua ardhi ya Ukraine juzi, walichukua Crimea miaka ile, sasa kwenye hii vita walikua wamedhamiria kuchukua nchi yote ila wakapokea za uso pale Kyev na kukimbilia mikoa ya huko mipakani ndiko kwenye vita kwa sasa, wanaendelea kufa kwa malaki kwenye nchi ya watu.

Hayo mavitu mnaaminishana huko ni ujinga sana, mumepofushwa kwa chuki zenu dhidi ya Marekani ambazo huwa mnahubiriwa hadi mnakosa kutumia ubongo kwenye yeyote mwenye urafiki na Marekani....
 
Jirani kakurupuka huko anateka ardhi yako halafu ufanye naye mazungumzo? Hakuvamiwa wala kuchokozwa, kaamka siku moja na kuanza kujichukulia ardhi, kumbuka Urusi haijaanza kuchukua ardhi ya Ukraine juzi, walichukua Crimea miaka ile.
Hayo mavitu mnaaminishana huko ni ujinga sana, mumepofushwa kwa chuki zenu dhidi ya Marekani ambazo huwa mnahubiriwa hadi mnakosa kutumia ubongo kwenye yeyote mwenye urafiki na Marekani....
Glory and victory to Russia
 
Fikiria kama sio Ujinga ni nini?? Mhusika mkuu ni Russia halafu hayupo hapo sasa hao si wanakutana kunywa chai nankuondoka mana vikwazo vyao ngoma imewabumia uwanja wa vita wanachakazwa sana sasa waitane wanywe chai wapige picha waondoke muda huo Majeshi ya Urusi yatakua Kyiv.
The Bitterness of Defeat.[emoji23]

Us-led NATO wanauchungu mno na Putin kama mama anayetaka kijifungua[emoji23][emoji23]
 
Jirani kakurupuka huko anateka ardhi yako halafu ufanye naye mazungumzo? Hakuvamiwa wala kuchokozwa, kaamka siku moja na kuanza kujichukulia ardhi, kumbuka Urusi haijaanza kuchukua ardhi ya Ukraine juzi, walichukua Crimea miaka ile, sasa kwenye hii vita walikua wamedhamiria kuchukua nchi yote ila wakapokea za uso pale Kyev na kukimbilia mikoa ya huko mipakani ndiko kwenye vita kwa sasa, wanaendelea kufa kwa malaki kwenye nchi ya watu.

Hayo mavitu mnaaminishana huko ni ujinga sana, mumepofushwa kwa chuki zenu dhidi ya Marekani ambazo huwa mnahubiriwa hadi mnakosa kutumia ubongo kwenye yeyote mwenye urafiki na Marekani....
Sawa aendele kufanya vita watafanikiwa kurudisha Ardhi yao
 
Kimsingi ni Ukraine kuendelea kukomaa na kulinda hadhi na jamii yao, kwamba hao Warusi wanafia kwenye kainchi kadogo, hiyo aibu na kiburi kimefanya wanateseka sana kwenye mioyo yao, wameshindwa kukafumua.....mataifa yote ya waarabu wa dini ile yalikua yanategemea sana Urusi, ila ndio hivyo, aibu tele....
Itazame hii ramani kisha upate aibu sana tu...

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
 
Nchi za magharibi ziache kupeleka silaha Kiev.

A very simple demand by Kremlin ili kusitisha mapigano na ndani ya wiki tu Russian itakuwa imeyaondoa majeshi yake yote
Acha uongo bwana, nani kasema hivyo..😲😲😲
 
Kimsingi ni Ukraine kuendelea kukomaa na kulinda hadhi na jamii yao, kwamba hao Warusi wanafia kwenye kainchi kadogo, hiyo aibu na kiburi kimefanya wanateseka sana kwenye mioyo yao, wameshindwa kukafumua.....mataifa yote ya waarabu wa dini ile yalikua yanategemea sana Urusi, ila ndio hivyo, aibu tele....
Itazame hii ramani kisha upate aibu sana tu...

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png

Force Russia to make peace, Zelensky urges West​

2 hours ago
Matt Murphy,BBC News
 
Kimsingi ni Ukraine kuendelea kukomaa na kulinda hadhi na jamii yao, kwamba hao Warusi wanafia kwenye kainchi kadogo, hiyo aibu na kiburi kimefanya wanateseka sana kwenye mioyo yao, wameshindwa kukafumua.....mataifa yote ya waarabu wa dini ile yalikua yanategemea sana Urusi, ila ndio hivyo, aibu tele....
Itazame hii ramani kisha upate aibu sana tu...

A324BBEF-12E5-409E-A0CB-7355E922EA2A_w1080_h608_s.png
Mambo ni Moto huko

(1)Force Russia to make peace, Zelensky urges West
2 days ago
Matt Murphy, in London,
James Waterhouse, in Kyiv

(2)Jeremy Bowen: Ukraine faces its worst crisis since the war began
1 day ago
Jeremy Bowen,
BBC international editor

(3) Zelensky urges Biden to attend Ukraine peace summit
18 hours ago
Imogen Foulkes ,
BBC Switzerland correspondent

(4)Life on Ukraine’s front line: ‘Worse than hell’ as Russia advances
Viktor, an infantryman in Ukraine’s 58th Motorized Brigade, stands in a trench less than 800 meters from Russian forces in the Donetsk region. When the fighting is dire he will pray to every god he knows. REUTERS/Thomas Peter

Ukraine's soldiers talk of exhaustion, faith, personal loss and a perilous shortage of munitions as Russian forces take new ground. Reuters traveled along the front line, where Ukrainian troops say Vladimir Putin must be beaten back. Otherwise, said one, "he’s not going to stop over here."
 
Zelensky hajaanza kuomba amani Leo, aliomba, kuanzia siku ya kwanza, ya vita, ila huyo tegemezi lenu Putin akaona bora Warusi waendelee kufia Ukraine.
 
Unaweza weka hiyo kauli yake kuonyesha hivyo na Masharti yake. Hapo Mwanzo na ya sasa hivi kama zipo Sawa. Na za Mrusi wakati ule na sasa
 
Kabla ya kutangaza vita juhudi Gani zilifanyika, Kwanza Mwalimu alitaka OAU, kulaani vitendo kile na ukitaka Uganda kuondoa majeshi yake na pia ukitaka Dunia kifanya hivyo kupitia UN. Baada ya hapo ndio ikafuatia hotuba
Ambayo ilikuwa na vitu vinne
Nia ya kupiga tunayo
Na uwezo wa kumpiga tunao.
Sasa Ukraine anaweza kuwa na Nia ya kumpiga Urusi lakini uwezo je anao??
Hivyo tofautisha vita vya Ukraine na Urusi na vya Tz na Ug, au Iraq na Iran, Somalia na Ethiopia, vya Ogaden , Biafra, NK nk
Nia ya kumpiga anayo ila uwezo Hana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jirani kakurupuka huko anateka ardhi yako halafu ufanye naye mazungumzo? Hakuvamiwa wala kuchokozwa, kaamka siku moja na kuanza kujichukulia ardhi, kumbuka Urusi haijaanza kuchukua ardhi ya Ukraine juzi, walichukua Crimea miaka ile, sasa kwenye hii vita walikua wamedhamiria kuchukua nchi yote ila wakapokea za uso pale Kyev na kukimbilia mikoa ya huko mipakani ndiko kwenye vita kwa sasa, wanaendelea kufa kwa malaki kwenye nchi ya watu.

Hayo mavitu mnaaminishana huko ni ujinga sana, mumepofushwa kwa chuki zenu dhidi ya Marekani ambazo huwa mnahubiriwa hadi mnakosa kutumia ubongo kwenye yeyote mwenye urafiki na Marekani....
You have limited informations mkuu?Hujajua fact ya Russia kuvamia Ukraine.
 
Unaweza weka hiyo kauli yake kuonyesha hivyo na Masharti yake. Hapo Mwanzo na ya sasa hivi kama zipo Sawa. Na za Mrusi wakati ule na sasa

Itakua umeanza kufuatilia huu mgogoro juzi.
Kabla Putin hajathubutu kuparamia Kyev na kuangukia pua, alibembelezwa sana ila akawa na kiburi na kumpa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine.
Hakutegemea kilichokuja tokea, Warusi kufa maelfu kwenye kainchi ka Ukraine na hamna chochote cha maana ambacho Urusi imepata kwenye hivi Vita.
 
Kwa maelezo yako inaonyesha huna hizo taarifa, Bali ni simulizi zako.
 
Back
Top Bottom