Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

Hukupaswa kusema Japan isingemfikia China kijeshi.

Japan iliachana na masuala ya vita, ikawekeza kwenye tech, elimu, uchumi n.k wangewekeza kwenye vita pale Asia kungekuwa hakukaliki.

Haijalishi China ingekuwa na ndege zipi za kivita au makombora lakini Japanese walikuwa wana roho za ajabu, kujitoa mhanga na kukata mtu mapanga au kuchinja kwao ilikuwa ni kama jambo la kawaida.

Morali yao kivita hata US wenyewe waliogopa, unachokiona Gaza Israel akiabika na Hamas utagundua vita ni kitu cha ajabu.

Sasa Japan wangeendelea na ule uelekeo, ni watu walikuwa na roho za ujasiri, halafu wangekuwa na tech kubwa kivita.

China ingekuwa challenged tena si kidogo.
 
Taifa linalojielewa huwezi shambulia ndege ya kiongozi wa muhimili wa taifa lengine pasipo kujali ni kubwa ama dogo.

Wewe ungekuwa Xi ungetoa order ndege ishambuliwe ?
 
Kwenye teknolojia China na marekani ndio wanao chuana.
 
Taifa linalojielewa huwezi shambulia ndege ya kiongozi wa muhimili wa taifa lengine pasipo kujali ni kubwa ama dogo.

Wewe ungekuwa Xi ungetoa order ndege ishambuliwe ?
Ye alisema atashambulia, kama angefahanu hatoshambulia angeachana na kusema pasipo kutenda ni kujishushia heshima.

Yaani China ilichofanya hata wanausalama wa US walijua hamaanishi ina maana intel ya US iliweza hadi kuwatabiri hawawezi kitu ambacho kilionyesha udhaifu kwao cause wanatabirika.

Iran hawatabiriki wakisema tunapiga Europe hadi US na Israel utaona kabisa wanachukua hatua.
China alizingua. Hupaswi kutabirika.
 
Nikisikiaga mtu anasema waarabu wana roho ngumu namuona kama kilaza tu.

Wajapan walikuwa wakatili na wana akili,

Sababu US alilipua bomula nyukliza ni sababu nchi nzima ilikuwa Tayari kufa.

Yaani zaidi ya askari 1M wamerekani wangekufa kama isingekuwa Nyuklia
 
Kurks Russia have nothing to do, Jeshi la Ukraine wana mpaka ofisi zao raia zaidi ya laki mbili wameshahamishwa maeneo hayo hayakaliki tena na bado Ukraine wanasonga mbele
 
Kwenye teknolojia China na marekani ndio wanao chuana.
Electronics, Semiconductors, robotics, automotives, biotechnology China hamgusi Japan.

Telecommunications, AI, software, aerospace, nanotechnology China ipo mbele kwa Japan.

Kwa maendeleo ya miji kiteknolojia na infrastructure Japan inaipiku bado China.
 
Mkuu kuwekeza katika vita ama kuendekeza vita!?
Kwahiyo unataka kusema China amewekeza katika vita!?
Tofautisha kuwekeza katika vita na kuwekeza katika jeshi.
China ni taifa ambalo lilionewa sana sio tu na Japan hadi na USA,France na UK.
Ndio maana ilipopata uhuru ilianza kujikita katika kuimarisha jeshi katika nyanja zote uzijuazo wewe bro.
Hiyo Japan hata kama ingeendelea na mwendo ule ule isingeweza kuikamata China.
China ilikua inafanya reforms kijeshi na kiuchumi kwa haraka sana.
Miongoni mwa majeshi ambayo yalifanya mageuzi kiuwekezaji China ipo top three.
Kwanza hiyo Japan ilitakiwa ipone kwenye trauma za vita ya pili ya dunia,maana ilipata hasara nyingi za rasilimali vitu na watu.
China alishakataa kuonewa kabbissa tangia anapata uhuru.
 
Hapo kwa maendeleo ya miji Japan hamkuti China.
China ni nchi yenye most paved tarmac roads in the world.
Ukiachana na hapo nenda upande wa madaraja,miundombinu ya reli,usafiri wa anga kote huko Japan hamkuti China.
Mwaka huu China ameunda na kufanyia majaribio bullet train yenye uwezo wa kutoka Dar hadi Mwanza kwa lisaa limoja ikitumia njia ya Maglev.
China ina skyscrapers nyingi kuliko Japan.

Hivi Japan ameanza kuunda ndege zake za abiria mkuu!??
 
Naona Mother Fucker…Uncle Sam ni numero Uno.
 
Waarabu pale hawafui dafu, wanafanya marudio.

Japanese kuna wale jamaa waliitwa Yakuza ni organization flani ya kihalifu, mtu akikosa ili kuonyesha utiifu na kuomba radhi unakata kidole chako cha mwisho kwa sword, hio si mchezo. Unajikata mwenyewe.

Japan invasion ya China hadi ww2 waliua Chinese 6 millions, tena wengine walichinjwa kwa sword kama wanyama.

Wale waache tu waachane na vita, sio watu wale.
 
Hakuna mahali paliposemwa na Xi ama serikali ya China kuhusu habari za kushambulia.
 
Unaizungumzia China hii ya 2024 au 2000 isijeikawa unaishi katika ukale wakati mambo yamebadilika.
 
Miji ya Japan kwa tech China inajitahidi ku catch up, China kwenye miji mikubwa ana infrastructures nzuri sikatai, Japan hadi vijijini wameendelea hilo halina ubishi.

Japan vyoo tu vyenyewe vya public ukiwa unapita unaona ni transparent,ukiingia ndani kinajibadili na kujiweka rangi mtu nje hakuoni.

Kuna namna flani Japan kwenye tech katika maisha ya kila siku wapo mbali, usiwachukulie poa asee.

Suala la airlines Japan ilitengeneza comercial airline miaka ya 1940's, hata hiko kiwanda cha subaru kilikua ni kiwanda cha kutengeneza ndege cha Japan, kikiitwa Nakajima.

Japan kutotengeneza airline sio ipo nyuma kwenye tech ni vipaumbele nyuma walitengeneza airlines wakaacha.
 
uko vema kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…