Mataifa jirani yanatuthibitishia kuwa sisi tunaopiga kelele kwenye mitandao kuhusu Corona tuna uelewa mpana kuliko CCM na Serikali yake

Nchi kama UK ambao wana uwezo mkubwa hata wasipofanya kazi wanaweza kuishi kwa kutumia mbinu za exchange mechanism rate etc wameshindwa lock down itakuwa nyinyi wamatumbi? JPM will remain 100% correct. Ni sawa na wakati wa kupigania uhuru wa Southern African countries watu wengi walimcheka J K Nyerere lakini mwisho wa siku alifanikiwa itakuwa wakati huu ambao wasomi wapo wengi na hatuwezi kuburuzwa? Covid-19 ni ugonjwa mdogo tu kwa sababu mbinu za kujikinga zipo, watu wanapona kutokana na immunity yao tu. Imeingia na itapita siku zinaendelea kama magonjwa mengine yaliyopita.
 
Uko sahihi, je huyo JPM anapigana na haka kaugonjwa kadogo akiwa wapi? Mwanzoni tuliambiwa yuko likizo, baadae ikageuzwa kaenda kumuona mama yake maana ni mgonjwa. Je saa hizi mko na maelezo gani tofauti na ya hapo awali?
 
Yani kama unaamini kuwa Rais wako yupo sahihi basi kajitafakari.
 
Wakujitafakari mbona anajulikana, anawewesekaweweseka JF kukandia maendeleo ya Watanzania.
 
Uko sahihi, je huyo JPM anapigana na haka kaugonjwa kadogo akiwa wapi? Mwanzoni tuliambiwa yuko likizo, baadae ikageuzwa kaenda kumuona mama yake maana ni mgonjwa. Je saa hizi mko na maelezo gani tofauti na ya hapo awali?

Ndio uzuri ukiwa rais unaamua ufanye nini kwa wajinga kama wewe.
 
Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu!

Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema na hii nchi na zaidi tunaonekana kujua mambo kwa usahihi sana kuliko CCM na serikali yake. Tupo imara.

Hatimaye mataifa jirani yanathibitisha leo kuwa Tanzania ni epicenter kwa maambukizi ya Corona. Hilo kwa sasa halina mjadala tena.

Tutamuhukumu Rais Magufuli kwa wakati sahihi. Vifo hivi lazima vije kutolewa maelezo tena kwa usahihi. Hii ni nchi na kinachofanya nchi iwepo cha kwanza kabisa ni binadamu walio hai. Uongozi unaopuuzia uhai wa binadamu kamwe usipewe nafasi, huo ni uongozi wa maafa.

Tunaridhishwa na hatua wanazotuchukulia wenzetu. Nilionya kuwa wakati utafika nchi yetu itatengwa kwa kupuuzia hatua zinazotakiwa kuchukuliwa dhidi ya COVID 19. Tunaelewa kuwa zipo hatua kali zaidi zitafuata. Tuwe tayari kutumikia ukaidi wetu!
Hivi mtu mwenye akili atasema kwamba tutaishi na Corona kama tunavyoishi na ukimwi au Malaria? Akili za wapi hizo?
 
Ndio uzuri ukiwa rais unaamua ufanye nini kwa wajinga kama wewe.

Sikutegemea maelezo tofauti na haya toka kwako. Hivi kitu imekaa vibaya. Umejifukiza lakini?
 
Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu!

Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema na hii nchi na zaidi tunaonekana kujua mambo kwa usahihi sana kuliko CCM na serikali yake. Tupo imara.

Hatimaye mataifa jirani yanathibitisha leo kuwa Tanzania ni epicenter kwa maambukizi ya Corona. Hilo kwa sasa halina mjadala tena.

Tutamuhukumu Rais Magufuli kwa wakati sahihi. Vifo hivi lazima vije kutolewa maelezo tena kwa usahihi. Hii ni nchi na kinachofanya nchi iwepo cha kwanza kabisa ni binadamu walio hai. Uongozi unaopuuzia uhai wa binadamu kamwe usipewe nafasi, huo ni uongozi wa maafa.

Tunaridhishwa na hatua wanazotuchukulia wenzetu. Nilionya kuwa wakati utafika nchi yetu itatengwa kwa kupuuzia hatua zinazotakiwa kuchukuliwa dhidi ya COVID 19. Tunaelewa kuwa zipo hatua kali zaidi zitafuata. Tuwe tayari kutumikia ukaidi wetu!
Kwani we ndio nani?
 
Baadhi ya wanaccm walioteuliwa maalumu kwa kazi ya propaganda humu jf utadhani hawaoni hali halisi.Uongozi wowote usiojali uhai wa raia wake ni wa kipingwa kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajali uhai gani wakati mnahangaikia matumbo yenu kwa fedha za mabeberu, tatizo mnadhani wa tz wote ni mbumbumbu kama wanachama wenu machadema, hayajui malengo ya viongozi wao, we unalaumu nn, ss hivi wazungu wenyewe wanaondoa Lockdown zao na hali zao bado mbaya, ss mnalaumu nn hapa kwetu malofa nyie!!!?
 
Uko sahihi, je huyo JPM anapigana na haka kaugonjwa kadogo akiwa wapi? Mwanzoni tuliambiwa yuko likizo, baadae ikageuzwa kaenda kumuona mama yake maana ni mgonjwa. Je saa hizi mko na maelezo gani tofauti na ya hapo awali?
Tatizo ni location alipo au hatua stahiki zichukuliwe na serikali yake?
Hapo ndipo wenye akili timamu wanapowapuuza wanasiasa na porojo zao na kuwasikia wataalamu .....

Tunahitaji hatua stahiki nchini ikiwemo mass testing na aone namna ya kushirikiana na majirani zake katika hatua zake na sio uwepo wake ikulu ya magogoni au chamwino kwani yeye sio front liner fighter kuwazidi madaktari wanaopaswa kupewa vitendea kazi, wauguzi, na watoa elimu mitaani juu ya namna bora ya kujikinga na hii fucking covid19..
Biashara ya lockdown tushafeli hata ya mkoa kwa mkoa kwasasa sidhani unless wataalamu waseme vinginevyo, ugonjwa umeshasambaa sana mtaani.

Huyu fucking covid19 yupo na anaua, jikinge na uwapendao, Pombe ameenda kujikinga kwao Chato anaendelea na maisha sisi walalahoi tukomae kutafuta mkate hapa mjini huku tunafuata ushauri wa wataalamu. Hatuna hata nauli za kukimbilia kijijini kwetu na familia zetu. Wabunge wetu tuwapendao wako kwao Dar wanaendelea na kazi kidijitali na wale wa analogi wapo zao Dodoma
 
Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu!

Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema na hii nchi na zaidi tunaonekana kujua mambo kwa usahihi sana kuliko CCM na serikali yake. Tupo imara.

Hatimaye mataifa jirani yanathibitisha leo kuwa Tanzania ni epicenter kwa maambukizi ya Corona. Hilo kwa sasa halina mjadala tena.

Tutamuhukumu Rais Magufuli kwa wakati sahihi. Vifo hivi lazima vije kutolewa maelezo tena kwa usahihi. Hii ni nchi na kinachofanya nchi iwepo cha kwanza kabisa ni binadamu walio hai. Uongozi unaopuuzia uhai wa binadamu kamwe usipewe nafasi, huo ni uongozi wa maafa.

Tunaridhishwa na hatua wanazotuchukulia wenzetu. Nilionya kuwa wakati utafika nchi yetu itatengwa kwa kupuuzia hatua zinazotakiwa kuchukuliwa dhidi ya COVID 19. Tunaelewa kuwa zipo hatua kali zaidi zitafuata. Tuwe tayari kutumikia ukaidi wetu!
Rubbish,taka taka,mavi ya nguruwe

We mbona unachat hujafa, umejilockdown wapi kamanda?
 
Back
Top Bottom