Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Nchi kama UK ambao wana uwezo mkubwa hata wasipofanya kazi wanaweza kuishi kwa kutumia mbinu za exchange mechanism rate etc wameshindwa lock down itakuwa nyinyi wamatumbi? JPM will remain 100% correct. Ni sawa na wakati wa kupigania uhuru wa Southern African countries watu wengi walimcheka J K Nyerere lakini mwisho wa siku alifanikiwa itakuwa wakati huu ambao wasomi wapo wengi na hatuwezi kuburuzwa? Covid-19 ni ugonjwa mdogo tu kwa sababu mbinu za kujikinga zipo, watu wanapona kutokana na immunity yao tu. Imeingia na itapita siku zinaendelea kama magonjwa mengine yaliyopita.