Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Shitty education. Kumbe hizo shule Mnaenda kusema ujinga?
Danganyikans don't know the difference between QUALITY and QUANTITY.
Waliokupa like' nao ni dunderheads.. Just like you ...mkorinto na muhogo
mkuu I saw typing errors
Shitty education
Mnaenda kusema ujinga
Danganyikan's
Wewe watakaokupa like tuwaiteje!?
 
Look,the whole of tanzania does not have a single expressway/motorway/freeway/autobahn/autoroute-this terminologies are very foreign to tanzanians,they don't know what they are,meanwhile the glorious city of nairobi has 3 functional freeways,2 under construction and 1 slated to start construction next month,the city of mombasa has 1 functional free way and another one under construction.clearly we are on another level.
 
Mbona unatumia nguvu nyngi kuandika vitu ambavyo havina msingi, Kenya ni nchi ndogo kwa Tanzania ila imeizidi Tanzania kwa mitandao ya barabara na ubora wake, ndio cha msingi.
Icho sio cha msingi.

Cha msingi ni kuhakikisha raia ya kenya yaani ndugu jamaa na familia zenu zinaishi kwa usalama sahihi..

Kuhakikisha wanajiepusha na ugaidi..
Ulinzi wa mali zao na afya yao kiujumla..

Izo ndio sector za kukomalia...

Ni ukosefu wa akili kukomaa na barabara alafu uko insecure
 
Huyo jamaa ni kichaa tu Hana jipya

Ushabiki kaweka mbele

Atembee aone sio kuokoteza data kwenye visite uchwara kuja kuturusha roho hapa .

Kumbe huko kwao barabara za vumbi kila Kona ya nchi isipokuwa Nairobi tu
Si ndio hapo...
Kenya mi naifahamu vizuri saana hawa watu ukiacha nairobi tu.

Hapo ni upumbav mtupu dadek... Sio building sio road sio jamii inayoishi..

Yaani hakuna kitu..

Kuna mwaka nilikuwa tour kuule, dar yaani nasafiri ndani ya nchi lakini najiuliza huu ni mkoa au kijiji... Yaaani ni vagarant aisee.

Man asikudanganye mtu.

Kimuonekano tu na uzuri wa majiji.
Tanzania ni number 1.
Kwa tabia za watu, ustaarabu na amani.. Tanzania ni no. 1.
Kwa upatikanaji wa huduma muhimu katika sector zoote Tanzania ni no. 1
Hata biashara na uwekezaji Tz ni no 1.
Sanaa in general Tanzania ni no. 1.

Nina uhakika ni nimefanya utafiti mimi mwenyewe na sio kusoma kwenye visite uchwara kama wajaluo hao
 
Ungeatachi na evidensi kidogo angalau tukuelewe mfano,mahali ulipotembelea, muonekano wa miji ya tz n.k. na VAGARANT ni nini??
 
Tanzania ni nchi kubwa sana (ukichukua Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda) bado hufikii size ya Tanzania. Hivyo hatutarajii kuwa na barabara nzuri kama wenzetu kwa sasa.

Facts
tanzania ina ukubwa wa 945,087Sq. Km
wakati Kenya 580,336Sq. Km,
Uganda 241,037 sq.km
Burundi 27,834Sq.Km na
Rwanda 26,338Sq.Km

Ukijumlisha wote unapata 875,545 sq.km

Hivyo bado zinabakia 69,542sq. Km sawa na Mbuga yote ya Selou, na mkoa wa Kilimanjaro

Ukiiangalia Rwanda Ukichukua Mkoa wa Kilimanjaro 13,250Sq. Km ukilinganisha Mkoa utaibuka kidedea kwa mbali sana

kuna wakati watu walinganishe Mbuzi na mbuzi au kondoo na kondoo sio Kondoo na Mbwa hata kama wote wanaweza kuwa chakula
Kenya ni mjini tu. Mwengine akuna barabara. Tanzania kote Kuna barabara za lami nzuri. UKIBABUA LAMI YOTE UTAWEZA KIFUNIKA RWANDA BILA YA KUONEKANA MCHANGA Hivyohivyo na nusu ya KENYA
 
Watu wanaongelea juu ya quality,weww unaleta sizes za nchi,huwa mnaenda kusomea ujinga shule
Mnaeza kuwa Na long length roads than most countries hapo top ten but cheap roads zenye hazina viwango,
Repoti inaongelea kuhusu quality,rwanda na udogo wake,wanajenga quality asphalt roads.

Mkuu usiongee maneno lete facts hapa

mna km ngapi zenye ubora gani (road standard) halafu nami nitaweka hapa, ili utuoneshe umetupita kwa lipi. acha longolongo.
Pia kwa sababu we umeenda shule pia utupe na mchanganuo wapi sisi tumeshindwa na nyie mmeweza
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Watu wanaongelea juu ya quality,weww unaleta sizes za nchi,huwa mnaenda kusomea ujinga shule
Mnaeza kuwa Na long length roads than most countries hapo top ten but cheap roads zenye hazina viwango,
Repoti inaongelea kuhusu quality,rwanda na udogo wake,wanajenga quality asphalt roads.
"zenye hazina"marekebisho tafadhali
 
Kenya si LDC,
Tunataka hizi infrastructure zote,
Kila mtu ako na taste yake,,,,either utsafiri na road,air ama rail....ivo ndio countries zilizoendelea ziko.
Africa is rising.
"kila mtu ako" tafadhali marekebisho 🙏
 
Huwa mnapenda sana kuokoteza vitaarifa uchwara kwenye mitandao
 
Hebu lete evidence wewe. Kwanza umeoga? Usije ukakamatwa na makonda. Nimekuona kwa foleni ya brt kama umevaa 'floaters' chafu na mkeo slippers za bafu[emoji28][emoji28][emoji2][emoji2]
Najua atakuja na jibu kali saana ambalo litakuharibia siku wacha nisubiri mpaka nione yaani sipitwi [emoji847][emoji847]
 
Tanzania ni nchi kubwa sana (ukichukua Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda) bado hufikii size ya Tanzania. Hivyo hatutarajii kuwa na barabara nzuri kama wenzetu kwa sasa.

Facts
tanzania ina ukubwa wa 945,087Sq. Km
wakati Kenya 580,336Sq. Km,
Uganda 241,037 sq.km
Burundi 27,834Sq.Km na
Rwanda 26,338Sq.Km

Ukijumlisha wote unapata 875,545 sq.km

Hivyo bado zinabakia 69,542sq. Km sawa na Mbuga yote ya Selou, na mkoa wa Kilimanjaro

Ukiiangalia Rwanda Ukichukua Mkoa wa Kilimanjaro 13,250Sq. Km ukilinganisha Mkoa utaibuka kidedea kwa mbali sana

kuna wakati watu walinganishe Mbuzi na mbuzi au kondoo na kondoo sio Kondoo na Mbwa hata kama wote wanaweza kuwa chakula
S.A. ni kubwa kuliko TZ, Acha story nyingi
 
Anzisha Uzi tukuzime kwa ushahidi wa data na sio mdomo mrefu Kama wako...kitu mnatushinda ni mdomo bakuli...umeme wenu ni 1359.69 MW Nyang'aus 2700MW,
Weka yenu ya barabara nikuabishe...bure kabisa.
Pumba
 
Pesa ya kujenga daraja moja tu la Kigamboni inatosha kujenga bara bara zote za nchi ya Rwanda na chenji ikabaki!
Acheni kufananisha Tz a vast country with some other tiny countries such as Kenya! Tanzania by size is nearly twice the size of Kenya!
Nayo Kenya is nearly twice the size of Tanzania economically...from GDP to yearly budgets.
 
Back
Top Bottom