Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Nayo Kenya is nearly twice the size of Tanzania economically...from GDP to yearly budgets.
Now this is where shame on Kenyans comes. Despite bragging to be the biggest economy in the region yet it can not even afford to finance on its own a construction of 50Km of railway while Tanzania being that small economically is constructing more than 700km of railway again ELECTRIFIED RAILWAY with its own money!
Kenya will start to develop on day 1 it stops cooking its economic data!
 
Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma.

1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
Mirsi ipo wap hapo mbona sijaiona aisee
 
Hainiingii akilini kulinganisha eneo la barabara Tanzania na Rwanda,Rwanda ni sawa na mkoa wa mtwara .kwa mlinganisho huo hongereni
 
Huu ujinga wenu si wa ulimwengu huu.
Mleta mada { MK254 } Mbona hukufafanua maana ya ubora?
 
Rwanda in da House [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna nchi inatafutwa hapa ili itoe povu!

Halafu hivi Rwanda ukitoa mji mkuu wake Kigali kuna mji mwingine wowote umeendelea kwenye ile nchi?

Hakuna kabisa!

Na Kagame amefanikiwa kuidanganya dunia akiwemo huyu mleta mada kuwa Rwanda ina miundo mbinu safi kwa kui-modernize Kigali maana shughuli zote za kiserikali zinamalizikia pale.

Ukitoka nje ya Kigali halafu ukaenda maeneo mengine kama Gisenyi,Gutarama,Musanze n.k unaweza kusema hauko Rwanda kabisa. Pamechoka vibaya mno! Hata wale warembo wao wakikuona wanakushangaa kama sijui wameona nini.
 
Si ndio hapo sasa, mimi naona wawadanganye tu hao hao wasiofuatilia kuhusu hayo mambo mimi hata nchi ambazo sijawahi kwenda huwa nina tabia ya kugoogle baadhi ya miji na kuangalia picha ili angalau niwe na clue kuhusu namna hiyo miji ilivyo.

Ila Rwanda kwa kweli ukitoa Kigali sijaona kitu bado hebu waache kufananisha Tanzania na vitu vya ajabu tena kwa zama hizi ambazo dunia yote ipo viganjani mwa watu sidhani kama tunaweza kudanganyana kuhusu swala la miji kwa kweli labda tu kwa watu wasiotaka kujua au wasio na simu janja (smart phones)
Hakuna kabisa!

Na Kagame amefanikiwa kuidanganya dunia akiwemo huyu mleta mada kuwa Rwanda ina miundo mbinu safi kwa kui-modernize Kigali maana shughuli zote za kiserikali zinamalizikia pale.

Ukitoka nje ya Kigali halafu ukaenda maeneo mengine kama Gisenyi,Gutarama,Musanze n.k unaweza kusema hauko Rwanda kabisa. Pamechoka vibaya mno! Hata wale warembo wao wakikuona wanakushangaa kama sijui wameona nini.
 
Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma.

1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
Tzn haiwezi ingia hapo kwa vile mabarabara mengi huku ni ya double surface dressing ambayo ni low quality grade
 
Nani huyo mumshinde?
Hiyo research ilifanyika 2004, una habari kwamba barabara nyingi za Tanzania zimejengwa 2013 - 2019? Kwa ufupi saivi tu kuna zaidi ya kilometres 4000 zipo under construction nchi nzima, hii old report inakuwaje valid hapo?

After all wanaozisifia barabara za Tanzania na kuzilaumu za Kenya ni Wakenya wenzenu sisi Watanzania tunareport tu hapa ila ninyi ndio vinara wa kutumwagia misifa sasa sisi tufanyaje?, 😅😅😅😅
Probably kwa road network sawa but kwa road quality Tzn iko nyuma inatumia poor standard mode of surfacing ya surface dressing wenzao wanatumia asphalt concrete
 
Probably kwa road network sawa but kwa road quality Tzn iko nyuma inatumia poor standard mode of surfacing ya surface dressing wenzao wanatumia asphalt concrete
Can u provide evidence for this claims.
Na mbona hizo quality roads in Kenya zinapata ma potholes mob.
Nini shida hapo.
 
Probably kwa road network sawa but kwa road quality Tzn iko nyuma inatumia poor standard mode of surfacing ya surface dressing wenzao wanatumia asphalt concrete
Mfugale anakucheki tu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kama ni poor mbona haina mashimo shimo kama za kwenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Probably kwa road network sawa but kwa road quality Tzn iko nyuma inatumia poor standard mode of surfacing ya surface dressing wenzao wanatumia asphalt concrete
 
Back
Top Bottom