Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

Ukubwa wa Tanzania itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu Kenya nusu ni kame tupu wakati Tanzania kila sehemu rotuba, na ardhi kubwa ilhali uvivu wa kupitiliza maana kuna njaa zaidi ya Kenya kainchi kadogo.
Out of that small arable land of Kenya like u say, if u guys will cultivate only 0.5% of it effectively, trust me u will get rid of this Kenya's traditional enemy (Hunger)
Wacheni kubrag na hizi nonsense excuses.
 
Mmnh tafiti hii mbona inaonesha Uganda wako juu ya Kenya na ile aliyoweka MK254 inaonesha Kenya ipo juu ya Uganda? Au nimesoma vibaya? Naomba kuelimishwa nadhani nitakuwa sijaelewa.
 
Hamletangi picha mpya mnaleta picha ya 2005 ....

Secondly Kenya media laws ni different na TZ mtajua kila kitu kuihusu kenya lakini hatuna chochote kuwa husu kumbe mnalala njaa tu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo kubwa ya bongo ni ukosefu wa info, data na general research kwa fani nyingi mno. Afu media zao huwezi pata intelligent op ed articles ama discussion on topical issues, zimejaa ujuha tupu. Online presence za Taasisi zao pia duni. Unagonga mwamba kila unapotafuta info/data .
Nitaitafuta uzi moja hapa JF nimesahau wapi, ambapo wabongo walikuwa wanapinga kuzinduliwa bodi ya maziwa(sawa na kenya dairy board ) kisa halina maana. Ukisoma comments pale utashtukizwa na level ya ignorance, na utawachwa hoi. Ndo maana stori kama hizi wakijitokeza types kama geza kujadili mada unalenga tu
 

Kenya tunazo nyika pia, ila eneo kubwa ni kame tupu na haliwezi kulimwa bila ukulima wa unyunyizaji. Ni kainchi kadogo na nusu yake kame tupu. Tanzania nchi kubwa yenye kila eneo lenye rotuba, hamjalima maeneo mengi tatizo uvivu, sasa hadi mnakua nyuma ya Kenya kwa njaa.
 

Nafikiri bado mada yako haijabadilika kuwa ni uwezo wa nchi kushughulikia matatizo ya njaa, kama ni hivyo, Tanzania haiwezi kuishinda Kenya kwa sasa, kwa sababu ambazo zinafahamika.

Lakini kama ni upatikanaji wa chakula, maeneo mengi Tanzania chakula kinaoza bila kutumika sababu ya utaratibu mbovu wa kuyauza.

Watu wajirejeshe kwenye maudhui ya uzi
 
Kenya hawawezi kutofautisha njaa ya kulala tumbo tupu na ukame, kwetu kunatokea ukame lakini siyo njaa ya kulala tumbo tu kama ripoti ya GHI ambayo jinsi ninavyojua takwimu zitakuwa zimetengenezwa jijini Nairobi, Kenya badala ya watafiti-takwimu kuja field Tanzania kujionea hali halisi !

Tumeona leo ziara ya Magufuli huko Kenya, mwandishi wa habari ''aliyebobea'' akisema Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania ni Bernard Membe na habari hiyo hiyo kunukuliwa na media kubwa za habari Kenya kama ''habari'' live za ''kina'' toka Nairobi.

Mje Tanzania jijini Dar-es-Salaam kupata data kamili kutoka vyombo vinavyoheshimika kimataifa kama REPOA Policy Research for Development, REPOA au ESRF Home | Economic and Social Research Foundation - Tanzania n.k badala ya kujifungia Nairobi na kusuka ripoti zisizo sahihi kuhusu hali ya uchumi na ukame Tanzania.
 
Hehehehe!!! Sky Eclat Hao hawawazidi akina Fatuma na Halima wa pale Unguja, Zanzibar nimekua pale na kuandaliwa Urojo, nusra nikwame huko na kuisahau Kenya yangu. Yaani nilinogewa kwa jinsi walinitunza hadi nikahisi niombe uraia wa Zanzibar.
Uraia wa Zanzibar wat do u mean????
 
Uraia wa Zanzibar wat do u mean????

Kwa jinsi huwa mnaendesha huo muungano hakika ni kama nchi mbili tofauti. Yaani unakuta Mtanzania wa kutokea bara hakubaliwi kutumia leseni ya kuendesha gari ya bara, lazima aombe nyingine Zanzibar. Nililiona hilo nikashangaa. Kuna vitu vingi nilivishangaa hadi nikaona kama nchi mbili tofauti kabisa, hata kama mnaambizana kwamba nchi moja. Anyway mtajua wenyewe, turudi kwenye mada.
 
Hebu nambie mkuu, unadhani ni ardhi kiasi gani inahitajika kuwapa wakenya uhakika wa Milo walau miwili kwa siku?
Labda tuanzie hapo.
 
Ujamsikia mkuu huko amesema Uhuru wa Tanzania
 

When the same reports report Kenya as hungry you run here to make threads about it. When they report Tz as hungry you say ni ripoti zisizo sahihi. lol.
 
sasa Kenya ipo 83rd hungriest country na tanzania 94th? Hamuelewi nini nyie makapuku?

Tanzania ranks 94 on the hunger index. Nilidhani ni hesabu pekee ndio huelewi, kumbe hata kiingereza ni balaa.
 
Wanashiba sana hasahasa wale wakenya wanaoishi mathare
 
Annael ameona hii?
 
Kukuwa middle income hakumaniishi nchi imeweza kujikomoa kabisa kutokana na matatizo yote ya kijamii.
Hebu tazama kwa mfano kwenye mataifa haya tajiri maradufu zaidi ya Kenya.......

Association for Asia Research- 30 million people are starving in China

Are there 13, 14 or 15 million hungry people in South Africa? - Africa Check

13 million Nigerians suffer from hunger- Agriculture Minister - Premium Times Nigeria

Hunger in India | India FoodBanking Network
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…