Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

Eti wanajisifia taarifa za kwamba Kenya ipo ndani ya nchi 50 zenye matatizo ya chakula, wanajisahau ndani ya hizo 50 wao wapo pabaya sana zaidi. Nafikiri bagamoyo wakati aliona hizo taarifa akaja mbio bila kuchukua muda kusoma orodha yote kwanza.
Kwamba kitakwimu Wakenya milioni 1 wakiwa na tatizo la njaa, inawiana na Watanzania milioni 7 wenye njaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nabado geza anajirudia tu kule kutucheka eti tumepita iraq kwa kiwango kidogo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Kumbe Tanzania iko Chini ya Iraq na Umbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naisha mamaweee!!
 
Tou dont seem to get it ...mko inclusive kwa hyo list

Pili iraq Ni richer than TZ ina 93bn barrels reservs za mafuta

3 iraq military budget is 7bn$ Tanzanias entire budget is 10bn$
Ati Tanzania budget?
 
Shirika la kupima masuala ya njaa na uwezo wa nchi kulisha watu wake (Global Hunger Index) wametoa orodha ya janga la njaa duniani.
Kwa wenye elimu wataelewa hii haipimi mambo ya kiangazi, bali uwezo wa nchi kulisha watu wake. Kwamba hata kwa kiangazi, nchi inaweza kushughulikia kwa kununua chakula na kuhakikisha watu wake wana shibe.

Kenya pamoja na kwamba nusu ya nchi yetu ni kame tupu, kwamba tuna eneo ndogo sana la kulima, lakini tumejituma na kuhakikisha watu wetu hawateseki sana. Kuna matukio madogo madogo ambapo chakula cha misaada kinachelewa kuwafikia wahanga ambapo wanaishia aidha kula vitu vya ajabu, lakini tunajaribu sana.

Hivi majuzi serikali imeachia Ksh 5b kwa ajili ya kiangazi kinachotukumbuka.

Kwa majirani wa Kenya, Ethiopia ndio inaoongoza kwa njaa kali ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania. Hii hapa orodha 2016 Global Hunger Index

Kenya - 21.9
Uganda - 26.4
Rwanda - 27.4
Tanzania - 28.4
Ethiopia - 33.4

Nafikiri ningekuwa mimi ningejisikia vibaya sana na aibu kubwa hata kuweka hili bandiko, Kenya ni middle income country at least officially hivyo kuwa na 22% ya Wananchi wake wanalala njaa ni scandalous lkn nashangaa kuna Binadamu wanaona ni jambo la kujisifia na wako proud kabisa kwamba heee man loook 22% of our people go to bed hungry ... !
 
Ati Tanzania budget?
10bn$ 12bn$ Potato Poteto .....

Iraq makes 43bn$ a year from oil sales alone na bado wana ISIS na Taliban na Alqaeda na bomblasts.....na walipigana na USA vita for 8months non stop 2003 .....tanzania marekani ikiingia ni wiki moja tu!!
 
sasa Kenya ipo 83rd hungriest country na tanzania 94th? Hamuelewi nini nyie makapuku?
 
Mbona unakua kama kombamwiko...
hio ripoti imeandikwa from kenyan perspective, as usual media ya tz imelala... the same source ambayo data ya hio article imetolewa inasema tanzania iko worse than hizo kina iraq

2016 Global Hunger Index

Maybe you need to put it in form of a chart. Like so...

Hunger Trends.JPG
 
Nafikiri ningekuwa mimi ningesikia aibu sana hata kuweka hili bandiko, Kenya ni middle income country at least officially hivyo kuwa na 22% ya Wananchi wake wanalala njaa ni scandalous lkn nashangaa kuna Binadamu wanaona ni jambo la kujisifia na wako proud kabisa kwamba heee man loook 22% of our people go to bed hungry ... !
Nenda katafute chakula wakenya tumeshiba ......toka!!
 
sasa Kenya ipo 83rd hungriest country na tanzania 94th? Hamuelewi nini nyie makapuku?
Soma all the 14 stats on that page.......

Fyi Tanzania is among the 39 hungriest Nations on Earth is what Dailys in Tanzania should be writing .....
 
na still mko fed na Tanzania, subiri Uhuru akiomba maize!
Yeah Hata israel na south korea ma belgium ni net food importers kama chakula hai grow kenya mnataka tufanye??? Hamtupeangi free we buy!!!

Wacha kichange topic juu umepatwa red Handed tiii
 
Nafikiri ningekuwa mimi ningejisikia vibaya sana na aibu kubwa hata kuweka hili bandiko, Kenya ni middle income country at least officially hivyo kuwa na 22% ya Wananchi wake wanalala njaa ni scandalous lkn nashangaa kuna Binadamu wanaona ni jambo la kujisifia na wako proud kabisa kwamba heee man loook 22% of our people go to bed hungry ... !

Tunajisifia kwa kujaribu pakubwa kuhakikisha pamoja na kwamba kainchi ketu kadogo halafu kame, lakini likija suala la lishe tumezidi giants kama Tanzania yenye ardhi kubwa ambayo kila mahali ni rotuba.

Tumeizidi hata India ambayo ni industrialized na wana nishati ya nyuklia.
 
Unazidi kujidhihirishia jinsi gani ulivyokuwa out of touch hata na hiyo Kenya yenyewe unayojisifia nayo, tangu lini Kenya ikawa "kanchi kadogo"? Kenya in ukubwa wa zaidi ya 580 000 km² na watu zaidi ya milioni 45, hiyo ni nchi ndogo? Kenya ni moja kati nchi kubwa hapa Barani Afrika, nchi ya Kenya ni kubwa mara mbili ya nchi ya Uganda sasa nakushangaa unavyoiita kaanchi kadogo, Malawi, Rwanda au Burundi waseme vipi kama Kenya ni kanchi kadogo? Kama Kenya ingekuwa Bara Ulaya ingekuwa ni nchi kubwa kuliko zote Barani Ulaya, hata kubwa zaidi wa Ufaransa!

Sasa hivi nimeanza kuelewa kwa jini Kibera haiwezi kuondolewa Kenya, kwa sababu kuna watu wananufaika na kuona ufahari na mateso ya watu wengine, nyie ndiyo mnaoingiza fedha na poverty/slum tourism, mnaleta Wazungu kuja kutembelea Kibera na kuona jinsi watu wanavyoishi kwa umaskini, huku ninyi mkitengeneza fedha!

Kibera iko kwa miaka zaidi ya 50 Nairobi
na hakuna juhudi zozote za kuiondoa kwa maana kuna watu wanatengeneza fedha, siajabu hata mnaifanyia Kibera Matangazo kama tourist attraction kwa Wazungu!

Slum/Poverty Tourism Nairobi, Kenya!
5933194-Sue_Sandford_family_from_DallasTexas-_USA_visiting_Kibera_Slums-0.jpg

victoria-safaris-kibera.jpg

victoria-safaris-kibera.jpg
 
Mamarosa please put kenya and Tanzania stats

First of all Tanzania is 942,000km2

Kenya is half that...

Kenya is Dry with multiple desert regions ...wb Tz???
 
Mamarosa please put kenya and Tanzania stats

First of all Tanzania is 942,000km2

Kenya is half that...

Kenya is Dry with multiple desert regions ...wb Tz???

Hata hesabu haujui, Kenya ina > 580 000 km², sasa iweje hiyo iwe ndogo mara mbili ya TZ, wkt TZ yetu hata Milioni 1 km² haijafikia?

Kwa kukusaidia (Ke)581 000 * 2 = 116 2000 (km²) - (TZ) 947 000 = 215 000 (km²)
 
data zingine huwa sio za kweli, nashangaa wa mnavo orgasm, itaandaliwa ingine itaipinga hiyo alafu wabongo wata orgasm, lkn ukweli tunaujua tunaokaa karibu na Kenya na wakenya, huo ukweli hautabadilishwa na hivi vitakwimu uchwara. Kenya msosi gharama sana alafu hafifu
 
Unazidi kujidhihirishia jinsi gani ulivyokuwa out of touch hata na hiyo Kenya yenyewe unayojisifia nayo, tangu lini Kenya ikawa "kanchi kadogo"? Kenya in ukubwa wa zaidi ya 580 000 km² na watu zaidi ya milioni 45, hiyo ni nchi ndogo? Kenya ni moja kati nchi kubwa hapa Barani Afrika, nchi ya Kenya ni kubwa mara mbili ya nchi ya Uganda sasa nakushangaa unavyoiita kaanchi kadogo, Malawi, Rwanda au Burundi waseme vipi kama Kenya ni kanchi kadogo? Kama Kenya ingekuwa Bara Ulaya ingekuwa ni nchi kubwa kuliko zote Barani Ulaya, hata kubwa zaidi wa Ufaransa!

Sasa hivi nimeanza kuelewa kwa jini Kibera haiwezi kuondolewa Kenya, kwa sababu kuna watu wananufaika na kuona ufahari na mateso ya watu wengine, nyie ndiyo mnaoingiza fedha na poverty/slum tourism, mnaleta Wazungu kuja kutembelea Kibera na kuona jinsi watu wanavyoishi kwa umaskini, huku ninyi mkitengeneza fedha!

Kibera iko kwa miaka zaidi ya 50 Nairobi
na hakuna juhudi zozote za kuiondoa kwa maana kuna watu wanatengeza fedha, siajabu hata mnaifanyia Kibera Matangazo kama tourist attraction kwa Wazungu!

Slum/Poverty Tourism Nairobi, Kenya!
5933194-Sue_Sandford_family_from_DallasTexas-_USA_visiting_Kibera_Slums-0.jpg

victoria-safaris-kibera.jpg

victoria-safaris-kibera.jpg

Ukubwa wa Tanzania itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu Kenya nusu ni kame tupu wakati Tanzania kila sehemu rotuba, na ardhi kubwa ilhali uvivu wa kupitiliza maana kuna njaa zaidi ya Kenya kainchi kadogo.
 
Kuna kausemi haka :- "Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi" !!!
Kenya mnatumia mbinu na zana za kisasa ktk kilimo...
TZ jee ??
MK254 Kenya njooni tuwe na ubia....
 
Ukubwa wa Tanzania itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu Kenya nusu ni kame tupu wakati Tanzania kila sehemu rotuba, na ardhi kubwa ilhali uvivu wa kupitiliza maana kuna njaa zaidi ya Kenya kainchi kadogo.

Jifunze tena, ni nani amekwambia TZ yote ni rutuba tupu? Unaijua Jiografia ya TZ wewe au unaongea tu? Sehemu kubwa sana ya TZ ni misitu minene na Nyika na ndiyo maana nchi yetu iliitwa Tanga- Nyika ambayo hailimiki, kwa mfano zaidi ya nusu nzima ya Mkoa wa Tabora ni misitu tupu, isitoshe nchi ya Kenya haina sababu yoyote ile ya 22% ya Wananchi wake kufa njaa kwa maana Kenya ina Rift valley ambayo ni one of the most fertile Regions in Afrika, hivyo kuwa Rift Valley halafu 22% ya Wananchi wake wanakwenda kulala bila ya kula ni scandalous, isitoshe Kenya ni middle income country hivyo ilipaswa iwe na uwezo wa kuwanunulia wananchi wake chakula hata kama hawawezi kulima, hivyo kwangu mimi kujivunia kwamba 22% ya wananchi wa Kenya wanalala bila ya kula, ni Ujinga mkubwa sana, na watu kama ninyi mnafaa muwe deported kwa nguvu na kupelekwa kuishi Uhamishoni kwani ni toxic hapa Afrika!
 
Hata hesabu haujui, Kenya ina > 580 000 km², sasa iweje hiyo iwe ndogo mara mbili ya TZ, wkt TZ yetu hata Milioni 1 km² haijafikia?

Kwa kukusaidia (Ke)581 000 * 2 = 116 2000 (km²) - (TZ) 947 000 = 215 000 (km²)
Poteto potato Tometo Tomato!!

Whatever u said is irrelevant....
 
data zingine huwa sio za kweli, nashangaa wa mnavo orgasm, itaandaliwa ingine itaipinga hiyo alafu wabongo wata orgasm, lkn ukweli tunaujua tunaokaa karibu na Kenya na wakenya, huo ukweli hautabadilishwa na hivi vitakwimu uchwara. Kenya msosi gharama sana alafu hafifu
Sio sisi tulileta watanzania wenzako wameamka asubuhi nakuanza kupost ujinga bila kusoma the entire report sasa tumesoma mnaanza data oooh....kitanzania nikama Trump akiwa juu kwa ratings Ako all praises for the media ....ikianza kumwendea vibaya anaanza et media haimsupport...

Ukimaliza kula matumbo ya kuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...uje tuonge kama umeshiba wacha kupaniki!!
 
Back
Top Bottom