Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026.

Marekani wanasema wamefanya hivyo ili kuondokana na wimbi la Raia kukaa nchini mwao kinyume na sheria.

1774501970279.png


IMG_1337.jpeg

Mijadala mingine kuhusu Kombe la Dunia;

====

World Cup fans from several nations facing $15k bonds to enter U.S. – and players may not be exempt​

1774505819931.png


Fans from several countries participating in this summer’s World Cup must deposit up to $15,000 in bond payments to be granted a tourist visa to enter the United States, while organizer FIFA is privately pressing the Trump administration to make exemptions for players.

The difficulties have emerged as nationals from certain countries travelling to the U.S. on a business or tourist visa — known as B-1 and B-2 visas — have been subject to bond payments after policy changes by President Donald Trump’s administration.

The “Visa Bond Pilot Program” relates to 50 countries, five of which have qualified for the World Cup. The policy has impacted nationals from Algeria, Cape Verde, Senegal and the Ivory Coast since January 21 this year. Last week, World Cup participants Tunisia were among the countries added to the list, which comes into effect from April 2. Cape Verde — an archipelago of only 525,000 people — has qualified for the men’s World Cup for the first time in its history.

A U.S. State Department spokesperson told The Athletic that all applicants, regardless of age, are subject to the same legal standards and must demonstrate they qualify for and intend to comply with the terms of a visa. They added that those who depart the U.S. in a timely fashion before their visa expires will recover their money, while they also said the visa bond requirement is not retroactive and does not apply to holders of existing valid visas.

However, there is no wording outlined in the Visa Bond Pilot Program that grants immunity to athletes competing in major sporting events such as the World Cup. Athletes who do not already have U.S. visas will largely apply for the B-1 or B-2 visas during the tournament, meaning they, too, could be asked to deposit bonds. The State Department said that all visa applications will be adjudicated on a case-by-case basis by officers.

The policy states that there is “no procedure” for applicants to apply for a waiver of the bond, but consular officers can determine whether a waiver “would advance a significant national interest or humanitarian interest based on the applicant’s purpose of travel and employment.”

When contacted by The Athletic this week, neither the State Department nor FIFA took the opportunity to rule out that players from the designated countries would be required to pay the bonds. FIFA declined to comment on all aspects of this report.


The situation is causing concern among the soccer federations of designated nations. Sources, who asked to remain anonymous to protect relationships, told The Athletic the matter was raised with FIFA at pre-World Cup preparation workshops that competing federations attended this month in Atlanta. Fewer than 80 days out from the World Cup, FIFA is attempting to convince the Trump administration to waive the bonds for official members of a competing federation’s delegation, which would likely include players, coaches and support staff, as well as federation executives and possibly key personnel from sponsors.

Behind the scenes, FIFA is working on contingencies, with the organization seeking to help the soccer teams of designated nations circumvent the bonds by supplying invitation letters for the official delegations of national federations competing at the World Cup. FIFA wants these letters to act as a waiver for the bonds. According to sources close to the matter, the current expectation is that, if successful, this will extend only to players, staff and federation executives, but possibly not to the immediate relatives of players, who may be subject to the bonds.

When The Athletic asked the State Department about FIFA seeking to influence the U.S. government’s policies, a State Department spokesperson stressed that “rules, policies, and procedures for visa processing are set in Washington, D.C.,” before adding that the U.S. government “continues to engage robustly with FIFA in support of the largest and greatest FIFA World Cup in history.”

While negotiations are ongoing over possible player exemptions for the visa bonds at the World Cup, it does not appear that any such privileges will be extended to fans.

For supporters from the impacted countries, the bonds add a huge financial burden on any trip to watch their team in the U.S. this summer, compounding the highly expensive World Cup tickets and hotels this summer.

FIFA president Gianni Infantino has repeatedly claimed this summer’s men’s World Cup in the U.S., Canada and Mexico will be the “most inclusive” in the competition’s history. Yet a national traveling from the impacted countries, who is deemed otherwise eligible for entry into the U.S., must now also have the means to post a bond of either $5,000, $10,000 or $15,000, which may preclude or deter many from traveling at all.

The bond payments are per person, rather than per travelling party, meaning that a parent travelling with a child would have to make two separate bond payments. Sources familiar with the process indicate that the $5,000 payments will be broadly reserved for children entering the country, with payments of $10,000 or $15,000 for adults.

A State Department spokesperson told The Athletic that America’s safety and border security “will always come first” and reiterated that nationals of designated countries would be required to post a visa bond of up to $15,000 before a visa can be issued. This would appear to be an issue for Algeria, Tunisia, and Cape Verde, with Senegal and the Ivory Coast designated for broader travel bans, which would limit travel in any case.

The State Department further claimed that the program “has proven effective in deterring illegal immigration and the Trump Administration is expanding it to additional countries based on a range of immigration risk factors, including high overstay rates, screening and vetting deficiencies, concerns regarding acquisition of citizenship by investment without a residency requirement, and foreign policy considerations.”

FIFA has also been asked by impacted nations to ensure that the State Department provides B-1 or B-2 visas that offer multiple entries into the U.S.

This has become a challenge as the State Department has increasingly been providing single-entry business or tourist visas to nationals of designated countries, when equivalent visas previously offered multiple entries.

Federations, players and fans need multiple-access visas to the U.S. because some teams in the tournament will play in more than one country during the World Cup. Ivory Coast, for example, have a group game in Toronto sandwiched between two games in Philadelphia, while Senegal’s final group-stage game is in Toronto, and they may need to return to the U.S. for knockout games. Tunisia’s first two games will be in Mexico before their final group game in Kansas City. Algeria and Cape Verde’s group games are all within the U.S.

A State Department spokesperson said an applicant’s “individual circumstances” will be taken into account when a consular officer makes the final decision on whether to issue a single- or multiple-entry visa.

Credit: The Athletic
 
Hivi wazungu wana neno dikteta kweli?
Maana tukiyafanya weusi wanatuita vibaya wao wakishafa inaonekama ni sahihi.
Trump ni dikteta. Wamerakani wengi waliomchagua trump leo wanaona haya ila bado wanasimama naye kiume huku wakijua kuwa ni dikteta; jirani yangu ni mmoja wao. Yeye ni mkulima, kabla ya uchaguzi alikuwa analalamikia bei ya dizeli, ambayo wakati huo ilikuwa $3:60. Leo hii dizeli hapa kwetu ni $3:90 l;akini halalamiki tena.

Ushindi wa Trump ulitokana na kuwa wamerakani wengi hasa wa vijijini (waume kwa wake) hawaamini wanawake. Trump alishinda chaguzi alizokuwa anapambana na mwanamke, na kwa Kamala hali ilikuwa mbaya zaidi kwa vile ni mwanamke ambaye siyo mweupe.
 
Trump ni dikteta. Wamerakani wengi waliomchagua trump leo wanaona haya ila bado wanasimama naye kiume huku wakijua kuwa ni dikteta; jirani yangu ni mmoja wao. Yeye ni mkulima, kabla ya uchaguzi alikuwa analalamikia bei ya dizeli, ambayo wakati huo ilikuwa $3:60. Leo hii dizeli hapa kwetu ni $3:90 l;akini halalamiki tena.

Ushindi wa Trump ulitokana na kuwa wamerakani wengi hasa wa vijijini (waume kwa wake) hawaamini wanawake. Trump alishinda chaguzi alizokuwa anapambana na mwanamke, na kwa Kamala hali ilikuwa mbaya zaidi kwa vile ni mwanamke ambaye siyo mweupe.
Ila Marekani imekuja kuwa na watu wajinga wajinga wengi sana, ni vigumu democracy ku survive katika mazingira hayo.
 
Trump ni dikteta. Wamerakani wengi waliomchagua trump leo wanaona haya ila bado wanasimama naye kiume huku wakijua kuwa ni dikteta; jirani yangu ni mmoja wao. Yeye ni mkulima, kabla ya uchaguzi alikuwa analalamikia bei ya dizeli, ambayo wakati huo ilikuwa $3:60. Leo hii dizeli hapa kwetu ni $3:90 l;akini halalamiki tena.

Ushindi wa Trump ulitokana na kuwa wamerakani wengi hasa wa vijijini (waume kwa wake) hawaamini wanawake. Trump alishinda chaguzi alizokuwa anapambana na mwanamke, na kwa Kamala hali ilikuwa mbaya zaidi kwa vile ni mwanamke ambaye siyo mweupe.
Sera yake dhidi ya ushoga pia ili msaidia, elon acquiring tweeter ili chagiza hilo kwa kiasi Kikubwa pia.
 
Ushoga siyo jambo kubwa katika maisha ya wamerikani; ni jambo la ziada tu. Ndiyo maana kuke Big Bend Indiana Meya wao alikuwa shoga ilhali raia wake wengi wakiwa ni mahafidhina.
Shida sio kuwa shoga, fatilia speech ya trump kuhusu wale wachezaji wa Olympic wakiume walio jigeuza wakike, approve rating yake ilipaa hapo
 
Shida sio kuwa shoga, fatilia speech ya trump kuhusu wale wachezaji wa Olympic wakiume walio jigeuza wakike, approve rating yake ilipaa hapo
Hizi cultural wars za Wamarekani huzielewi.
Wakina Trump, Elon na MAGA wengi wana shida zaidi na Transgenders ila gays sio sana ndio maana Waziri wa Fedha wa Trump, Scott Bessent ni shoga, Mentor wa JD Vance na donor mmojawapo mkubwa wa Trump, Peter Thiel ni shoga.
 
Serikali ya Marekaninchini ya Rais Donald Trump inaweza kuwalazimu wasafiri kutoka nchi tano zilizofuzu Kombe la Dunia kulipa dhamana ya hadi Dola 15,000 ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya michuano hiyo.

Jinsi Dhamana Hizi Zinavyofanya KaziDhamana za viza zinafanya kazi kama rehani (security deposits): ni malipo ya mara moja ambayo msafiri anatarajiwa kurudishiwa pindi atakapoondoka Marekani kwa kuzingatia masharti ya viza yake. Kiasi hiki mara nyingi kinacheza kati ya Dola 5,000 na Dola 15,000. Dhamana hizi zinahitajika kwa wamiliki wa hati za kusafiria kutoka nchi fulani ili waweze kuingia Marekani kihalali chini ya viza za B-1 au B-2, ambazo ndizo zinazotumiwa na wafanyabiashara au watalii.

Nchi Zinazolengwa na Mpango HuuWizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeanza kudai dhamana hizi tangu ilipoanzisha mpango wa majaribio mwishoni mwa mwaka 2025. Mpango huu ulilenga nchi nyingi ambazo tayari ziliathiriwa na zuio la usafiri la Trump, pamoja na nyinginezo—hasa nchi za Afrika, Mashariki ya Kati, Amerika Kusini, na baadhi ya maeneo ya Asia. Wiki iliyopita, wizara hiyo ilitangaza kupanua mpango huo, ambapo wageni kutoka nchi 50 sasa watatakiwa kuweka dhamana hiyo ikiwa ubalozi wa Marekani utahitaji wafanye hivyo.

Pigo kwa Mashabiki Kutoka AfrikaKati ya hizo nchi 50, nchi tano zimefuzu Kombe la Dunia, na zote zinatoka barani Afrika: Algeria, Cape Verde, Côte d’Ivoire, Senegal, na Tunisia.

Ingawa pesa hizi zinarudishwa, gharama yenyewe ya kutoa dhamana inatosha kuifanya safari ya Marekani kuwa ndoto kwa mashabiki wengi kutoka nchi hizo, ambazo zina wastani wa kipato cha takriban Dola 5,000 au chini ya hapo kwa mwaka.

  • Tunisia imepangwa kucheza mechi moja ya hatua ya makundi nchini Marekani na nyingine mbili kule Mexico.
  • Senegal na Côte d’Ivoire zitacheza mara mbili Marekani na mara moja Canada.
  • Algeria na Cape Verde zitacheza mechi zao zote tatu za makundi nchini Mexico.
Maumivu Juu ya MaumivuHata kwa wale wachache watakaomudu kiasi hicho kikubwa, hitaji hili la maelfu ya dola litakuwa ni maumivu ya kichwa yanayoongezeka kwenye orodha ya changamoto nyingine zinazowakabili mashabiki. Changamoto hizo ni pamoja na bei kubwa za tiketi uwanjani, gharama za hoteli zilizo juu ya wastani, ucheleweshwaji wa kushughulikia viza, na hofu za kiusalama kutokana na uwepo wa maafisa wa uhamiaji (kama ICE) na mashirika mengine kwenye miji mbalimbali ya Marekani.

Je, Kuna Msamaha kwa Wachezaji?Bado haijafahamika wazi ni makundi yapi yatapata msamaha (exemptions) wa kutolipa dhamana hizi. Wakati zuio la usafiri la Trump likiwa na misamaha kwa wanariadha na viongozi wanaoshiriki matukio makubwa ya kimichezo kama Kombe la Dunia, mpango huu wa dhamana za viza haujaweka wazi msamaha wa aina yoyote.

Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026 inatarajiwa kutimua vumbi Juni 11, huku mchezo wa fainali ukitarajiwa kupigwa Julai 19 kwenye Uwanja wa MetLife kule East Rutherford, New Jersey.
 
Wanasiasa wapuuzi wakishaingilia michezo basi ni tabu tupu hii world cup kuchezewa USA ilikuwa big mistake
 
Bwa TRAMP alishasema AMERCAN FIRST sasa na akuma atakaepingap maana utapigwa na vikwazo,misahada,hujuma na ikiwezekana ata mabomu utapigwa
 
Timu za Afrika zilizowekewa vikwazo zisusie kombe la Dunia, si hata zipiga na mabomu kabisa au kuziteka😅😅..
Ulaya Eu walitaka kususia kombe la Dunia hii endapo trump angekivamia kile kisiwa Cha Greenland kilicho chini Denmark ndo hapo Trump akanywea, na yeye hapo ndo akazugazuga anawapandishia Kodi/tariffs zaidi bidhaa za Ulaya ikiwemo champagne ya Ufaransa..
Ila Iran ndo wakumuonea huruma na atakuwa kivutio sana kombe la Dunia hili, wachezaji wao, timu Yao itafuatiliwa na mapaparazi kila hatua, na hapo sijui vita itakuwa ishaisha...
 
Back
Top Bottom