Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

1781096969778.png
... wa kuzira azire!
 
Trump ni Mbugila kweli. Anaamini kuwa Marekani ni kuzuri sana kila mtu anataka kuzamia huko bila kufuata sheria.
Yupo sahihi, hakuna mtu asiyetamani kuishi Marekani otherwise awe hapajui huko USA lwa kusikia habari zake.
 
Back
Top Bottom