Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

Itapendeza na Tz, na Burundi, na South Sudan wakienda kuongeza nguvu huko wakipeleka
Msithubutu kupeleka wa Tanzania kwani huenda mkaenda kuwapokea pale Airwing wakiwa wameshapumzika mazima ( milele ) katika 'Maboksi' yao.
 
Ukumbuke mwanajeshi kwenda vitani ni ushujaa kwani ndio taaluma aliyoisomea. Mjeda anaajiriwa hadi anastaafu hajawahi hata kupigana kwenye vurugu tu, hii sio sawa. Waende wakapambane

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ufe ukipambana kulinda mipaka yako dhidi ya Wavamizi kuliko kufa kwenye foreign lands ukipigana vita isiyokuhusu.
 
Naendelea kuzionya nchi zingine za EAC kuwa zisipeleke Askari ( Wanajeshi ) wao huko Congo DR kama walivyofanya Wakenya kwani kwa Uhodari wa Waasi wa Kitutsi wa M23 wenye Akili Kubwa na Uhodari wa Kimedani ( Vita ) hawatorejea Salama huko nchini Kwao.
Cc LIKUD
 
Baba yao mlezi ndio muhimu sana kumchapa bakora hadharani.
Ni nani huyo? Halafu kuwa makini Watutsi hawashindwi kukufuata kokote uliko na kukutia Adabu sawa? Mwambieni Rais wenu asipeleke Wanajeshi wenu huko Congo DR kwani wanaweza wasirejee Wote sawa?
 
Ngojs waende wotee wakishindwa tunaena wenyewe,tunatuma vijana wachache tu kams 150 wanamaliza kazi mapema sana hata mwezi hauishi!!
Vijana wenu 150 ambao kila Siku wanashinda katika Vibanda vya Gongo na Kubeti? Tena Waasi wa M23 ndiyo wanawatamani kweli kweli Ili wawatie Adabu na mjue kuwa hakuna wa Kupambana na Watutsi EAC nzima.
 
Mwanajeshi eneo lake ni vita,kama vile dokta Hana maana kama hakuna wagonjwa,
Sasa uanajeshi wa nini kama hakuna vita!na kufa vitani,sio kitu Cha ajabu,
Mbona 'Mabwege Nation' mnaanza kutia Huruma? Wapelekeni Wanajeshi ( Askari ) wenu huko ( kule ) Congo DR wakaliwe Vichwa na Waasi wa M23 ili Mjute.
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
mbona JWTZ tulishawagonga mpaka wakajificha na kuibuka tena baadae!!!...wee jamaa andazi nini?
 
Watusi wana akili za kipumbavu sana. Kagame kawajaza ujinga wanajiona wanapaa mawinguni. Ni suala la muda tu, mnachokitafuta bila kujua mtakipata!
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Kwani mpaka sasa wamesha kufa Askari wangapi wa Kenya!!??
 
Hujui kama askari kufia vitani ni ushujaa? Au unataka wafie kwa mimama ya kwenye baa za pale mwenge na kawe?
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Kwani yule mtabiri wetu wa Jf aliyetabiri ajali ya ndege yeye unasemaje kuhusu hili suala?
Anyway mkalitazame hili nalo
 
Back
Top Bottom