Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

Hamna uhodari wowote wa hao M23 ni vile nchi za magharibi, mashirika mbalimbali hasa ya kimataifa yana maslahi yao kwenye huo mgogoro.

Nchi za magharibi zinavuna madini na mali mbalimbali toka kwenye maeneo yanayotawaliwa na hao waasi kwa kuwa provide hao waasi with lights and outdated weapons.

Mercenaries toka magharibi wanapata ulaji huko, unawaowaezesha kulipa Kodi kwenye nchi wanazotoka.

Mashirika ya kimataifa Kama UN, UNHCR , WTO, IMF na hata makampuni binafsi toka hizo nchi wanafaidika na huo mgogoro..

Na sio DRC tu migogoro mingi duniani imekua initiated na kuwa sponsered mostly na wamagharibi for their own purposes.
 
Back
Top Bottom