GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Msithubutu kupeleka wa Tanzania kwani huenda mkaenda kuwapokea pale Airwing wakiwa wameshapumzika mazima ( milele ) katika 'Maboksi' yao.Itapendeza na Tz, na Burundi, na South Sudan wakienda kuongeza nguvu huko wakipeleka
Ni bora ufe ukipambana kulinda mipaka yako dhidi ya Wavamizi kuliko kufa kwenye foreign lands ukipigana vita isiyokuhusu.Ukumbuke mwanajeshi kwenda vitani ni ushujaa kwani ndio taaluma aliyoisomea. Mjeda anaajiriwa hadi anastaafu hajawahi hata kupigana kwenye vurugu tu, hii sio sawa. Waende wakapambane
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo tuna Akili Kubwa EAC yote.Wanyarwanda mna shida sana. Hasa utusi ni tatizo kubwa.
M23 wanatosha kufanya Kazi tuliyowatuma huko.Kwenu Rwanda nao watapeleka majeshi pia?
😂😂Itapendeza na Tz, na Burundi, na South Sudan wakienda kuongeza nguvu huko wakipeleka
Cc LIKUDNaendelea kuzionya nchi zingine za EAC kuwa zisipeleke Askari ( Wanajeshi ) wao huko Congo DR kama walivyofanya Wakenya kwani kwa Uhodari wa Waasi wa Kitutsi wa M23 wenye Akili Kubwa na Uhodari wa Kimedani ( Vita ) hawatorejea Salama huko nchini Kwao.
Mkuu acha mambo ya ajabu. Opereshen ya mpakani mtwara yatosha. Tuoneeni huruma tuna familia.Ukumbuke mwanajeshi kwenda vitani ni ushujaa kwani ndio taaluma aliyoisomea. Mjeda anaajiriwa hadi anastaafu hajawahi hata kupigana kwenye vurugu tu, hii sio sawa. Waende wakapambane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani huyo? Halafu kuwa makini Watutsi hawashindwi kukufuata kokote uliko na kukutia Adabu sawa? Mwambieni Rais wenu asipeleke Wanajeshi wenu huko Congo DR kwani wanaweza wasirejee Wote sawa?Baba yao mlezi ndio muhimu sana kumchapa bakora hadharani.
Vijana wenu 150 ambao kila Siku wanashinda katika Vibanda vya Gongo na Kubeti? Tena Waasi wa M23 ndiyo wanawatamani kweli kweli Ili wawatie Adabu na mjue kuwa hakuna wa Kupambana na Watutsi EAC nzima.Ngojs waende wotee wakishindwa tunaena wenyewe,tunatuma vijana wachache tu kams 150 wanamaliza kazi mapema sana hata mwezi hauishi!!
Nendeni leo mkakione cha Moto sawa?Mbona ile 2014 walikimbizwa kama vile kikundi cha wanywa gongo?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mbona 'Mabwege Nation' mnaanza kutia Huruma? Wapelekeni Wanajeshi ( Askari ) wenu huko ( kule ) Congo DR wakaliwe Vichwa na Waasi wa M23 ili Mjute.Mwanajeshi eneo lake ni vita,kama vile dokta Hana maana kama hakuna wagonjwa,
Sasa uanajeshi wa nini kama hakuna vita!na kufa vitani,sio kitu Cha ajabu,
Naona unamsakizia Mbwa ajipeleke Mwenyewe katika Mdomo wa Chatu mwenye Njaa ili akauliwe na amezwe vizuri.
mbona JWTZ tulishawagonga mpaka wakajificha na kuibuka tena baadae!!!...wee jamaa andazi nini?Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Wewe ni Kitumbua nini?mbona JWTZ tulishawagonga mpaka wakajificha na kuibuka tena baadae!!!...wee jamaa andazi nini?
Kwani mpaka sasa wamesha kufa Askari wangapi wa Kenya!!??Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Kwani yule mtabiri wetu wa Jf aliyetabiri ajali ya ndege yeye unasemaje kuhusu hili suala?Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.