Wana hasira hao. Subiri wanakujaSimba ipongezwe kwa kuleta heshima hiyo. Kama hukubaliani na comment hii pita kama huoni.
Ngoja tuone kama Yanga nao wataendeleza hii heshima.
Acha waje kindezi niwapopoe. Inabidi wajifunze kupokea ukweli hata kama ni mchungu.Wana hasira hao. Subiri wanakuja
Huyu jamaa kilaza sana. Lete takwimu za mechi tano za mwisho za simba na yanga hapa uone nani bubusaSjui yanga huwa wapoje huwa hawatamani kucheza kabisa na simba,wakiwa na mechi na simba watatafuta visingizio mpaka basi ni sheria tu lakin wanataman wawe wanacheza ligi bila kukutana na simba,ushindani na simba hawataki kabisa
Eti hadi nani zaidi nayo wamejitoa yaani kama mademu vile kususa susa ndo tabia yao,kule zanzibar waliwahi kutoonekana uwanjani,hapo mkapa napo walishafanya ujinga yaan haya majinga yanadidimiza sana huu mpira na hayataweza ileta hii heshima
Popoma naona akili umeziweka mfukoni siku hizi. Kama taifa tumepiga hatua kuwa na idadi kubwa ya vilaza. Kwa taarifa yenu makolo yanga anacheza club bingwa kwa mafanikio ya kubeba kombeShirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
β’ Algeria π©πΏ
β’ Angola π¦π΄
β’ Congo DR π¨π©
β’ Egypt πͺπ¬
β’ Guinea π¬π³
β’ Libya π±πΎ
β’ Morocco π²π¦
β’ Nigeria π³π¬
β’ South Africa πΏπ¦
β’ Sudan πΈπ©
β’ Tanzania πΉπΏ
β’ Tunisia πΉπ³ .
Sharti ni kwamba Simba SC ndiyo itachagua Timu za Kumsindikiza Kumuwakilisha na tayari tumeshazichagua kuwa ni Azam FC, Namungo FC na Geita Gold FC na wale mliobakia mnaweza ttu mkazungumza na Wachezaji wenu Wanamuziki wawaalike Kwao mkacheze Ndombolo na akina Koffi Olomide, Fally Ipupa na Ferre Gola sawa?
Ila ukweli umesemwa. Uto akienda kimataifa ni mechi Moja tu Chali anarudi nyumbani .Popoma naona akili umeziweka mfukoni siku hizi. Kama taifa tumepiga hatua kuwa na idadi kubwa ya vilaza. Kwa taarifa yenu makolo yanga anacheza club bingwa kwa mafanikio ya kubeba kombe
Ukweli lazima usemwe na ukubaliwe , mimi Yanga lakini kubaki na kulike comment yako.Simba ipongezwe kwa kuleta heshima hiyo. Kama hukubaliani na comment hii pita kama huoni.
Ngoja tuone kama Yanga nao wataendeleza hii heshima.
0.5 yako iyo komaa viduduCha kushangaza mshindi wa kwanza wa NBC PL anaanzia awali (vidudu) huku mshindi wa pili akianzia std 1 CAF CL . Hawa CAF niwa puuzi Sana , wanaipendelea simba
Utopolo.walimsikiliza lopolopo wao sasa Aibu kwao..Simba ipongezwe kwa kuleta heshima hiyo. Kama hukubaliani na comment hii pita kama huoni.
Ngoja tuone kama Yanga nao wataendeleza hii heshima.
Tuachie roporopo wetu. Alishatwambia sisi ni hamnazo. Sasa unataka tusimuamini mkuu?Utopolo.walimsikiliza lopolopo wao sasa Aibu kwao..