ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nyuzi za kuifariji team dhaifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu dhaifu mashindano ya kimataifa huwa Zinapigwa nje ndani na kuishia hatua ya awali. Timu inayopelekea taifa kupeleka timu 4 ktk mashindano ya CAF siyo dhaifu.Nyuzi za kuifariji team dhaifu
timu ambayo haiwezi kuongoza kwenye table tangu ligi ana anza mpka ina isha ni dhaifuTimu dhaifu mashindano ya kimataifa huwa Zinapigwa nje ndani na kuishia hatua ya awali. Timu inayopelekea taifa kupeleka timu 4 ktk mashindano ya CAF siyo dhaifu.
Timu dhaifu ni ile ambayo ukiitafuta hata ktk 80 bora Afrika huwezi kuipata mfano utopolo
Senegal, Cameroon na Ghana hazipo kwenye orodha, japo mmoja wapo ndio bingwa wa Africa na hizo nchi zitashiriki kombe la Dunia huko Qatar.Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Mkuu hizo team tegemeo lake kubwa timu ya taifa ni wachezaji wanaocheza timu za Ulaya tofauti na huo mrundikano wa waarabu ambao wachezaji wao wengi wanacheza ndani na kuzipandisha clubs za ndaniSenegal, Cameroon na Ghana hazipo kwenye orodha, japo mmoja wapo ndio bingwa wa Africa na hizo nchi zitashiriki kombe la Dunia huko Qatar.
Soko letu la Africa ngazi ya vilabu bado lipo kwenye ukuaji.
OKW BOBAN SUNZU Scars Ghazwat
Tate Mkuu
unapigwa mwenyeweMimi ni Yanga lia lia lakini nashangaa kwa nini kimataifa tunakuwa legelege kwa kuishia kupigwa kote kote! Yaani tukienda mbele tunapigwa tukibaki nyumbani tunabamizwa!
Hizo takwimu zimeisaidia nini uto kimataifa?Huyu jamaa kilaza sana. Lete takwimu za mechi tano za mwisho za simba na yanga hapa uone nani bubusa
Simba nguvu mojaCha kushangaza mshindi wa kwanza wa NBC PL anaanzia awali (vidudu) huku mshindi wa pili akianzia std 1 CAF CL . Hawa CAF niwa puuzi Sana , wanaipendelea simba
Hivi unaiongelea Yanga ipi hiyo!! Hii hii iliyowafunga juzi kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, au!Sjui yanga huwa wapoje huwa hawatamani kucheza kabisa na simba,wakiwa na mechi na simba watatafuta visingizio mpaka basi ni sheria tu lakin wanataman wawe wanacheza ligi bila kukutana na simba,ushindani na simba hawataki kabisa
Eti hadi nani zaidi nayo wamejitoa yaani kama mademu vile kususa susa ndo tabia yao,kule zanzibar waliwahi kutoonekana uwanjani,hapo mkapa napo walishafanya ujinga yaan haya majinga yanadidimiza sana huu mpira na hayataweza ileta hii heshima
Popoma katika ubora wake! Unajimwambafai na hiyo timu yako itakayo shiriki mashindano kupitia Viti maalum! Maana ubingwa wa ligi kuu umechukuliwa na Yanga, Kombe la Shirikisho nalo Insha Allah! Linakwenda Jangwani!Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳 .
Sharti ni kwamba Simba SC ndiyo itachagua Timu za Kumsindikiza Kumuwakilisha na tayari tumeshazichagua kuwa ni Azam FC, Namungo FC na Geita Gold FC na wale mliobakia mnaweza ttu mkazungumza na Wachezaji wenu Wanamuziki wawaalike Kwao mkacheze Ndombolo na akina Koffi Olomide, Fally Ipupa na Ferre Gola sawa?
Ni msimu huu tu ndo kidogo ndo imejikakamua kucheza na simba lakin pamoja na hayo nani zaidi wamekimbiaHivi unaiongelea Yanga ipi hiyo!! Hii hii iliyowafunga juzi kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, au!
Yanga hii hii iliyowafunga kwenye Ngao ya Jamii msimu huu! Mkaja kushangilia sare mbili mechi za ligi kuu, au!!
Mweh! Rage umewafanya nini hawa ndugu zako! 🤔
Simba aliongoza table ya champion league akimzidi Al Ahlytimu ambayo haiwezi kuongoza kwenye table tangu ligi ana anza mpka ina isha ni dhaifu
Wanakuja kukushambulia kwa hy andaa makomboraSimba ipongezwe kwa kuleta heshima hiyo. Kama hukubaliani na comment hii pita kama huoni.
Ngoja tuone kama Yanga nao wataendeleza hii heshima.
Hao namungo uozo mtupuShirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳 .
Sharti ni kwamba Simba SC ndiyo itachagua Timu za Kumsindikiza Kumuwakilisha na tayari tumeshazichagua kuwa ni Azam FC, Namungo FC na Geita Gold FC na wale mliobakia mnaweza ttu mkazungumza na Wachezaji wenu Wanamuziki wawaalike Kwao mkacheze Ndombolo na akina Koffi Olomide, Fally Ipupa na Ferre Gola sawa?
Yanga imeingia kwa sifa yakeSimba ipongezwe kwa kuleta heshima hiyo. Kama hukubaliani na comment hii pita kama huoni.
Ngoja tuone kama Yanga nao wataendeleza hii heshima.
Tatizo la simba hata Ismail Rage analijua,ni umbumbu kuanzia viongozi mpk washabiki.Acha waje kindezi niwapopoe. Inabidi wajifunze kupokea ukweli hata kama ni mchungu.
Ni kweli. Ila hata kama Yanga ingeishia nafasi yoyote kati ya zile 4 za juu bado ingeenda kimataifa. Ni nani aliyewezesha hali hiyo kuwepo?Yanga imeingia kwa sifa yake