Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

timu ambayo haiwezi kuongoza kwenye table tangu ligi ana anza mpka ina isha ni dhaifu
 
Mimi ni Yanga lia lia lakini nashangaa kwa nini kimataifa tunakuwa legelege kwa kuishia kupigwa kote kote! Yaani tukienda mbele tunapigwa tukibaki nyumbani tunabamizwa!
 
Senegal, Cameroon na Ghana hazipo kwenye orodha, japo mmoja wapo ndio bingwa wa Africa na hizo nchi zitashiriki kombe la Dunia huko Qatar.

Soko letu la Africa ngazi ya vilabu bado lipo kwenye ukuaji.

OKW BOBAN SUNZU Scars Ghazwat
Tate Mkuu
 
Senegal, Cameroon na Ghana hazipo kwenye orodha, japo mmoja wapo ndio bingwa wa Africa na hizo nchi zitashiriki kombe la Dunia huko Qatar.

Soko letu la Africa ngazi ya vilabu bado lipo kwenye ukuaji.

OKW BOBAN SUNZU Scars Ghazwat
Tate Mkuu
Mkuu hizo team tegemeo lake kubwa timu ya taifa ni wachezaji wanaocheza timu za Ulaya tofauti na huo mrundikano wa waarabu ambao wachezaji wao wengi wanacheza ndani na kuzipandisha clubs za ndani
 
Waarabu wote wanawaklishwa na timu 4 kila mmoja. Hawa jamaa wanatutesa sana kwa kweli.
 
Hivi unaiongelea Yanga ipi hiyo!! Hii hii iliyowafunga juzi kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, au!

Yanga hii hii iliyowafunga kwenye Ngao ya Jamii msimu huu! Mkaja kushangilia sare mbili mechi za ligi kuu, au!!

Mweh! Rage umewafanya nini hawa ndugu zako! πŸ€”
 
Popoma katika ubora wake! Unajimwambafai na hiyo timu yako itakayo shiriki mashindano kupitia Viti maalum! Maana ubingwa wa ligi kuu umechukuliwa na Yanga, Kombe la Shirikisho nalo Insha Allah! Linakwenda Jangwani!

Sasa nyinyi mtashiriki kama nani? Mshindi wa pili wa ligi kuu? Mmeshinda nini msimu huu? Kombe la Mapinduzi! Kombe la robo fainali!! Kwa taarifa yenu, Bingwa ni mmoja tu! Wananchi Yanga! πŸ†πŸ₯‡πŸ₯‡πŸ₯‡
 
Ni msimu huu tu ndo kidogo ndo imejikakamua kucheza na simba lakin pamoja na hayo nani zaidi wamekimbia
 
Hao namungo uozo mtupu
 
Acha waje kindezi niwapopoe. Inabidi wajifunze kupokea ukweli hata kama ni mchungu.
Tatizo la simba hata Ismail Rage analijua,ni umbumbu kuanzia viongozi mpk washabiki.
1.kama mlisajiri vizuri wenzenu wanashindwaje?

2. Kam mlitumia uchawi,mlikoupata ni kwa shetani ambako wenzenu hawawezi kufika?

Simba ni upumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…